Waziri Bashe: Hatujapokea taarifa rasmi kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa mahindi yetu ila magari yetu yamezuiwa!

Anadhani kuongoza nchi ni sawa na kuswaga ng'ombe

Watu wengine vichwani mmejaza funza. Madai ya Kenya kuzuia mahindi yamewekwa, ila wewe kwa akili ndogo zako unamhusisha JPM na kuongoza Nchi. Acheni ujuha
 
Watu wengine vichwani mmejaza funza. Madai ya Kenya kuzuia mahindi yamewekwa, ila wewe kwa akili ndogo zako unamhusisha JPM na kuongoza Nchi. Acheni ujuha
Ulitaka tukuhusishe wewe? Nani anakujua wewe nguchiro?
 
Watanzania tumejengewa dhana zo hovyo sana,na hii kwasababu
hatuna exposure na hatupendi kusoma ,yani huwa tunadhani tulivyonavyo sisi wengine hawana na kama wanavyo basi vyakwetu ni bora na vingi zaidi ukilinganisha na kokote duniani.

Ukweli ni kwamba tuko kawaida Sana tusiji over rate.Madini kama dhahabu tulionayo huwezi linganisha hata kwa robo na dhahabu ya south Africa.

Gas hii tulionayo ifahamike Urusi ni miongoni mwa nchi zilizobarikiwa gas nyingi duniani.

Sasa unajigamba habari ya mahindi ambayo mmarekani ndio mkulima no moja wa mahindi duniani na huyalima kwaajili ya mifugo.

Tuache ubabe wakijinga kwani kwakufanya hivyo tunaumiza sana wakulima.
 
bashe usijitoe ufahamu,kenya wamezuia mahindi kutokaTANZANIA OFFICIAL,tuyarudishe tule mpaka tuvumbiwe.nasema mitano tena
 
Watu wengine vichwani mmejaza funza. Madai ya Kenya kuzuia mahindi yamewekwa, ila wewe kwa akili ndogo zako unamhusisha JPM na kuongoza Nchi. Acheni ujuha
Wewe ndiyo umefunzika kichwani huoni mbele tatizo la jpm wako ni hajui Mahusiano ubabe mpaka kwa jirani
 
Au wakenya wanahasira na tz kwa sababu ya kufurusha nzige wakarudi huko kwao, yawezekana ndio waliowatuma hao nzinge waharibu mahindi yetu.
 
Watu wengine vichwani mmejaza funza. Madai ya Kenya kuzuia mahindi yamewekwa, ila wewe kwa akili ndogo zako unamhusisha JPM na kuongoza Nchi. Acheni ujuha

Baba yako aliharibu shahawa zake kumkojolea aliyekuzaa, angejua utazaliwa wewe, angepiga punyeto
 
Tunamcheka bure jesca, lakini ukweli ni kwamba amerithi kila kitu kutoka kwa baba yake.
 
Prof. Adolf Mkenda, nenda kenya katie hili tatizo. Wewe kwenu Rombo ,na warombo na wakenya mnaelewana. Huyu Dogo hawezi hiyo kazi.
Wewe, nani kasema Prof. Adolf Mkenda ni wa Rombo? Huyu ni kanda ya ziwa! Si unajua lazima uwe kanda ya ziwa eti!
 
tatizo sio kuwa na vitu.. tatizo unavitumiaje kufika unapotaka?
katika dunia ya leo huwezi kufanikiwa bila kuwa na ushirikiano na mataifa mengine.
Upo sahihi lakini kuna baadhi yao ushirikiano wao hauna jema nasi na wengi wa mataifa hayo wanasumbuliwa na kijicho
 
Dona kantri bwana kila kitu inakanusha.

Korona hakuna
Mahindi hayana sumu
hakuna mtu aliebisha kua mahindi hayana sumu ila concern ya serikali ni kua kenya hawakufuata utaratibu katika kutoa tangazo lao, sasa ngoja JIWE litawafurahisha manina zao...
 
..anawajulisha watanzania nini?

..kwamba serikali ya Tanzania haijawasiliana na viongozi wa Kenya kulipatia ufumbuzi suala hili?

Je, hicho ndicho Watanzania wanachotaka kujulishwa?

Mie nilitegemea afanye immidiate action kwa kusema mahindi yoootee yaliyokwama mpakani yapelekwe kwenye maghala ya serikali na wafanyabiashara waliohusika watalipwa kwa sababu inchi hii ni tajiri sana

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Maeneo ya watu haya. Sababu za hizo mambo ni nyingi kidogo. Kwahiyo hizo kansa zimeenea zaidi kwetu kuliko kwao siyo?
 
Mie nilitegemea afanye immidiate action kwa kusema mahindi yoootee yaliyokwama mpakani yapelekwe kwenye maghala ya serikali na wafanyabiashara waliohusika watalipwa kwa sababu inchi hii ni tajiri sana

Au nasema uongo ndugu zangu?
Kwenye hayo malori kuna uwezekano mkubwa asilimia ya kutosha ni ya wafanyabiashara wa ke.
 
Subirini mtapata ripoti nyie zenu ni kupiga domo motandaoni

..time is money. muda aliotumia kupiga blah-blah angeweza kuwasiliana na mamlaka za Kenya na kulipatia uvumbuzi suala hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…