Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Jana tarehe 20 March 2023, Rais alifungua mradi wa mashamba ya pamoja, Mradi wa Kilimo wa Vijana. Sijui kama Waziri ana lengo zuri au ni kulifanya jina lake lisikike kila wakati mbele ya Rais kwa kujitambulisha kama mchapakazi. Kama ni mpango wa Wizara, basi ni muendelezo wa udanganyifu ulioanzia mambo ya Kilimo kwanza.
Wakulima wa nchi hii, zaidi ya 70%, wako vijijini. Huu ni upigaji wa wazi kabisa kuwashawishi vijana kwa kuwapa mashamba kama kambi ya JKT, ili washawishi wengine kuhusu kilimo. Hii ni hasara kwa wakulima. Waziri alianza na pikipiki za maafisa ugani ambazo hazionekani zilikwenda wapi na bado hazijaulizwa! Sasa amekuja na hili ambalo halimo hata kwenye mpango mkakati wa pili wa kuendeleza kilimo wa Wizara, ASDP II.
Huu ni upigaji wa wazi kabisa!