Waziri Bashe na wizara mnaandaa Watanzania kwa mipango ya upigaji

Huyu mama katoa mawaziri wote wakiristo lakini wote waliokuwa waslam hajatumbua hata mmoja!
Bejamini Netanyahu said:
Bashe kinachomsaidia ni udini na mfumo ovu
 
Ulitaka afanyaje hebu tupe mfano mwingine
Tatizo mnasoma vichwa vya habari na kuja kumimbilia kujibu ujinga,soma kifungu baada ya kichwa cha habari....kazungumzia Wakulima kindaki ndaki wapo vijijini huo mpango ni wa kupigia picha tu.
Bashe haache ubabaishaji wanatumia hela hovyo tu.
 
Ilitakiwa waanze kwa jaribio kwanza kabla ya kuingia mazima la sivyo hela za ulaji tu hizo

Hakuna kitu hapo
 
Kwa hiyo bloangu pikipiki za maafisa ugani zimekuuma sana hadi umezitaja kwenye uzi wako sio?
Watu wanafata historia,historia yako ndo inaonyesha kwamba Miradi unayotaka kuifanya nyuma kuna ambayo ilishafanikiwa au lah!!!!,Piki piki zilipelekwa ila hakuna kinachozalishwa huko, wanatumia kupakia na tu kwenda sehemu za starehe mana wanaiba na mbolea pia wanapiga hela.
 
Kwa hiyo maafisa ugani wote ni walevi,wanakwenda sehemu za starehe na ni wezi wa mbolea?

Punguzeni makasiriko majobless,changamkieni fursa hzo zilizoletwa na Serikali mkalime muinuke kiuchumi.

Mkiwa vizuri mifukoni mtapunguza chuki na husda za ukosefu wa ajira.
 
Kilimo hakitafanikiwa mana tangu achukue atamu mvua hakuna.
 
Jana tarehe 20 March 2023, Rais alifungua mradi wa mashamba ya pamoja, Mradi wa Kilimo wa Vijana. Sijui kama Waziri ana lengo zuri au ni kulifanya jina lake lisikike kila wakati mbele ya Rais kwa kujitambulisha kama mchapakazi. Kama ni mpango wa Wizara, basi ni muendelezo wa udanganyifu ulioanzia mambo ya Kilimo kwanza.

Wakulima wa nchi hii, zaidi ya 70%, wako vijijini. Huu ni upigaji wa wazi kabisa kuwashawishi vijana kwa kuwapa mashamba kama kambi ya JKT, ili washawishi wengine kuhusu kilimo. Hii ni hasara kwa wakulima. Waziri alianza na pikipiki za maafisa ugani ambazo hazionekani zilikwenda wapi na bado hazijaulizwa! Sasa amekuja na hili ambalo halimo hata kwenye mpango mkakati wa pili wa kuendeleza kilimo wa Wizara, ASDP II.

Huu ni upigaji wa wazi kabisa!
Nilikuwa naangalia sana, kati ya zile kampuni kweli Amna ya kisomali pale na ya waarabu pale na wachina ?
 
Mie niliposikia eti katika kila eneo akitolea mfano wa shamba la hector 30000.

Vijana wanachukua labda hector 10000. Halafu mwekezaji mkubwa anapewa hector 20000.

Condition ya mwekezaji mkubwa ni lazima kununua mavuno yatakayopatikana kwenye hizo hekari 10000 za vijana.

Halafu maeneo mengine wamepanga kulima zabibu; sasa unless huyo mkulima mkubwa na yeye ana biashara nyingine ya kutengeneza juice ya zabibu au wine sioni mantiki ya yeye kutaka kununua zabibu zote hizo.

Kumbuka zabibu ni perishable good inayotakiwa kutumika haraka baada ya mavuno. Kwa ivyo zisipo nunuliwa in time zinaharibika.

Kawaida wenye uwezo huo huwa ni makampuni, mfano ‘Starbucks’ hiyo ni sehemu ya operation strategy yao duniani ata kama sio kwa jina lao directly wanaweza kuwa na wakala anaelima ‘Coffee Arabica’ na kuwa na uwezo wa kununua kiasi kikubwa kwa wakulima wadogo wa maeneo hayo. Huyo wakala anajukumu la kuwasaidia mbinu za kupata mavuno mazuri wakulima wadogo.

Kama ilivyo Mfindi kwa wakulima wa chai na Unilever, Babati na TBL kwa wakulima wa burley, Cadbury Chocolate na cocoa ya Ghana; etc. Mara nyingi ukiona hivyo elewa kuna conglomerates nyuma ya hiko kilimo.

Lakini mkulima ambae hana soko maalum kubwa kumtwika huo mzigo ni wazimu halafu mazao yenyewe sio nafaka ambayo watanzania wanahitaji.

Nimewahi kusikia mipango mingi ya ovyo Tanzania lakini huu, I am sorry to say kwa atakae kwazika nitakachoandika tuna watu wajinga mno serikalini how on earth watu walioenda shule waliweza pitisha mradi kama huu wenye kasoro zaidi ya 700 ambazo ata kuziongelea zinaleta uvivu ni waste of money aijwahi tokea Tanzania.

Huyo Bashe wamtoe hapo Kilimo na kumtafutia wizara nyingine.

Aiseee jamaa kaongea madini sana.
Mods fungeni uzi huyu jamaa kamaliza
 
Wafanye upesi Sana kumtoa kabla hasara yake ijaonekana Ni mjinga hate kwa kumuangalia jins anavyo ongea unapata waswasi kuwa Ni tapeli mno

Akwenda kwenye biashara yake ya kuandika magazeti

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Akili zao zinawatosha wenyewe huo mzabibu wenyewe hadi kuota na kuanza kutoa matunda ni kati ya miaka 3-5 sasa sijui muda huo hao vijana wanakula nini au ndio wanakopea mi zabibu (kangomba) that’s high risk lending kutokana na soko la zabibu na mkulima hana crop nyingine ambayo ina demand kubwa.

Maintenance ya shamba lenyewe la zabibu sidhani kama ni shughuli ya mtu mmoja, miti yake tu huwa sio stable inahitaji support, kuna swala la weed; huyo kijana lazima ata hitaji vibarua kusaidia upkeep ya shamba la hector 10.

Baada ya kuangaika kwa miaka 3-5, halafu soko sio guarantee.

Only in Tanzania.

Anyway huo ulioanza jana nadhani pilot scheme, labda kuna mikakati zaidi ambayo atuelewi so tuwape muda.
Tafuta hela uje nunua hayo mashamba maana watayauza

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom