ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kazi imeanzaWajenge barababa za lami na miondombinu ya umwagiliaji vijijini, mambo mengine mengi yatajiseti yenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi imeanzaWajenge barababa za lami na miondombinu ya umwagiliaji vijijini, mambo mengine mengi yatajiseti yenyewe.
Mwambie Serikali imenunua na kugawa magari ya Usimamizi Kwa wahandisi wapya wa umwagiliaji apart from kuwaajiri..
ndugu yangu hilo liko wazi kwa mtu yule anaetambua! Wengi hawajui kua io ni blueprint ya kuchakata fedha! Mimi kiukweli natamani kumjua mtu aliebuni hili wazo nimpe heshima yake! Jamaa ni kichwa aisee! Yaani hapa hadi escape root ya izo negative outcomes ipo tayari! Nawaonea wivu hawa jamaa watavoponda maisha kiulaini!Jana tarehe 20 March 2023, Rais alifungua mradi wa mashamba ya pamoja, Mradi wa Kilimo wa Vijana. Sijui kama Waziri ana lengo zuri au ni kulifanya jina lake lisikike kila wakati mbele ya Rais kwa kujitambulisha kama mchapakazi. Kama ni mpango wa Wizara, basi ni muendelezo wa udanganyifu ulioanzia mambo ya Kilimo kwanza.
Wakulima wa nchi hii, zaidi ya 70%, wako vijijini. Huu ni upigaji wa wazi kabisa kuwashawishi vijana kwa kuwapa mashamba kama kambi ya JKT, ili washawishi wengine kuhusu kilimo. Hii ni hasara kwa wakulima. Waziri alianza na pikipiki za maafisa ugani ambazo hazionekani zilikwenda wapi na bado hazijaulizwa! Sasa amekuja na hili ambalo halimo hata kwenye mpango mkakati wa pili wa kuendeleza kilimo wa Wizara, ASDP II.
Huu ni upigaji wa wazi kabisa!
Ndugu mayor naomba niwe rafikiako angalau naona tunaweza share vitu positive kama hivi! Akili kubwa ziko chimbo bado hazijaingia barabarani!Chukulia huu mfano.
Watanzania wengi sana wanapenda maharage.
Mtaji wa tsh 10 billion.
Unajenga warehouse kubwa yenye kuajiri ata watu 500
Unapata industrial pressure cooker yenye uwezo wa kupika tani elfu kadhaa kwa siku.
Nitatoa biashara kwa mtu wa kuniuzia aluminium cans za size tofauti
Biashara kwa mtu wa kunitengenezea label za kwenye kopo
Nanunua ma lorry used kama 20
Biashara ya maharage ambayo nishayachemsha mtu kazi yake kuunga ipo sana; wanafunzi wa vyuo tu wana tosha achilia families with appropriate marketing mix yaani soko ni kubwa balaa la ndani tu. Tena hilo mashine unaweza chemshia ata vyakula vingine vya jamii ya kunde.
Kwa sababu nanunua kwa wingi na ku distribute mwenyewe naweza ata kupanga bei ya chini ambayo retailer asizidishe yeye apate na mimi nipate na iwe nafuu kwa mlaji.
Hapo nakuwa nimetengeneza ajira za wasomi na wasio wasomi, natoa biashara kwa biashara zingine (B2B), naanza kulipa kodi za PAYE, VAT, Income Tax ndani ya muda mfupi, nachochea mapato ya biashara zingine TANESCO umeme, vituo vya mafuta na si ajabu guest houses.
Sio huku kwenda kutupa hela ovyo kwenye kilimo, badala ya kuanza kufikiria kuanza kuongeza thamani ya kilichopo sasa.
Ni hivi Tanzania watu wenye hela wao wanachojua ni mabasi, hotels, ma lorry, bar/mgahawa, taxi, boda boda, maduka ya nguo na kuhonga.
Lakini mtu mwenye exposure uwezi kuwa na access ya mtaji Tanzania ukakosa cha kufanya kwenye kuongeza thamani kwa bidhaa za shambani; opportunities ni vast.
Ni muda wa serikali kufikiria viwanda wameshatupa hela za kutosha kwenye kilimo, viwanda vikiwepo watu watakimbilia mashambani wenyewe.
Kupata utajiri Tanzania na kufilisika ni ushamba. Sawa kuimba hujui, lakini Diamond Platnumz ambae ajamaliza ata darasa la saba akushinde na kwenye biashara huo sasa ni ufala.
Wajuzi na wabobezi wa Kilimo.Pia wapo Feed the FutureMradi umefadhiliwa na USAID na AGRA kutoka Marekani
Itaishia kuwa na Matope Yako kichwaniThe Somali guy is luring bongolala to trust him on his quest for presidency after ssh
Kabla ya kumpa muda kwenye hili, kwa nn tusimpime kwenye mengine mfano mbolea ya ruzuku? Kwa nn hili tu? Bashe ni mtu wa maneno pasipo vitendoTumpe tu nafasi, labda he has a way which isn't obvious to us...Chamsingi kilimo chetu kiweze kuleta tija. I pray for his success!
Mimi kilichonishangaza ni hadi raisi kukubaliana na huu mradi Hadi kwenda kuuzinduaNimeona huo mradi nikacheka sana! Kuna tu vitu vitu tunaendelea inabidi ujifyatue akili usichunguze sana maisha yasogee.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wewe ndo umepewa kitengo cha kugawa hizo hekali 1000 kwa vijana muwakaushe juani bila faida?Kama unawajua si uwaweke wazi kuliko kubwabwaja humu kwa makasiriko yasiyo na msingi?
Na hao matajiri watakaokuwa ma'boss' wa hawa vijana ni akina nani hasa?
Wamekwishapatikana katika mpango huo? Wamepatikana kwa njia zipi? Kulikuwa na tenda zilizotangazwa?
Na baadhi ya vijana hao wakulima wakikataa kuuza mazao yao kupitia kwa huyo "mnyonyaji", itakuwa vipi?
Hawa watanufaika kwa jasho la waTanzania wote kwa mikopo itakayolipwa na waTanzania?
The woman is clueless, gullible na washauri wake personal wa maswala ya uchumi na biashara sijui ni hakina nani huko Ikulu hawana msaada wowote.Mimi kilichonishangaza ni hadi raisi kukubaliana na huu mradi Hadi kwenda kuuzindua
Kumbe na wewe ulikuwa juani unasubiria hayo mashamba bloangu?Wewe ndo umepewa kitengo cha kugawa hizo hekali 1000 kwa vijana muwakaushe juani bila faida?
Huko kwenye nishati napo raisi amenishangaza sana, niliona akienda kuzindua mjadala wa watu kuanza kutumia gesi badala ya kuni na mkaa. Ilikua jambo la ajabu mno.The woman is clueless, gullible na washauri wake personal wa maswala ya uchumi na biashara sijui ni hakina nani huko Ikulu hawana msaada wowote.
Wazimu mwingine upo nishati na huu uwekezaji wa renewable mtu anatakiwa awaambie huko serikalini stop pursuing that nonsense awahitaji kwa sasa hiyo miradi inayoenda dilute mapato ya TANESCO shirika lenyewe linaishi kwa ruzuku za walipa kodi.
Unajua hili taifa la Tanzania kuna kiongozi alishawai kumwambia Nyerere kwamba Anaongoza maiti sio binadamu walio hai.Kumbe na wewe ulikuwa juani unasubiria hayo mashamba bloangu?
Jibu lako lipo hapo hao watu hakuna Mwigulu kaenda U.K. kutafuta hao wawekezaji na juzi walikuwa S.A kwa shughuli hiyo hiyo ya kubembeleza wawekezaji wa kwenye mashamba makubwa.
Umepanik bloangu eeeh??Unajua hili taifa la Tanzania kuna kiongozi alishawai kumwambia Nyerere kwamba Anaongoza maiti sio binadamu walio hai.
Sisi ambao sio maiti tunajitahidi kuoji,kupinga na kutafta mwafaka mzuri ili wasiendelee kutuona maiti wote ila UNAIBUKA TENA WW MAITI unaleta hoja za kishoga kisa unapewa buku 7.