Waziri Bashe na wizara mnaandaa Watanzania kwa mipango ya upigaji

Jana tarehe 20 March 2023, Rais alifungua mradi wa mashamba ya pamoja, Mradi wa Kilimo wa Vijana. Sijui kama Waziri ana lengo zuri au ni kulifanya jina lake lisikike kila wakati mbele ya Rais kwa kujitambulisha kama mchapakazi. Kama ni mpango wa Wizara, basi ni muendelezo wa udanganyifu ulioanzia mambo ya Kilimo kwanza.

Wakulima wa nchi hii, zaidi ya 70%, wako vijijini. Huu ni upigaji wa wazi kabisa kuwashawishi vijana kwa kuwapa mashamba kama kambi ya JKT, ili washawishi wengine kuhusu kilimo. Hii ni hasara kwa wakulima. Waziri alianza na pikipiki za maafisa ugani ambazo hazionekani zilikwenda wapi na bado hazijaulizwa! Sasa amekuja na hili ambalo halimo hata kwenye mpango mkakati wa pili wa kuendeleza kilimo wa Wizara, ASDP II.

Huu ni upigaji wa wazi kabisa!
Bashe Kamatia hapo hapo kama ulivyokamatia kwenye mazao usisikilize Hawa looser na failure wa awamu ya 5.

Wamechanganyikiwa baada ya kuona legacy inazidi kufunikwa.
 
Chukulia huu mfano.

Watanzania wengi sana wanapenda maharage.

Mtaji wa tsh 10 billion.

Unajenga warehouse kubwa yenye kuajiri ata watu 500

Unapata industrial pressure cooker yenye uwezo wa kupika tani elfu kadhaa kwa siku.

Nitatoa biashara kwa mtu wa kuniuzia aluminium cans za size tofauti

Biashara kwa mtu wa kunitengenezea label za kwenye kopo

Nanunua ma lorry used kama 20

Biashara ya maharage ambayo nishayachemsha mtu kazi yake kuunga ipo sana; wanafunzi wa vyuo tu wana tosha achilia families with appropriate marketing mix yaani soko ni kubwa balaa la ndani tu. Tena hilo mashine unaweza chemshia ata vyakula vingine vya jamii ya kunde.

Kwa sababu nanunua kwa wingi na ku distribute mwenyewe naweza ata kupanga bei ya chini ambayo retailer asizidishe yeye apate na mimi nipate na iwe nafuu kwa mlaji.

Hapo nakuwa nimetengeneza ajira za wasomi na wasio wasomi, natoa biashara kwa biashara zingine (B2B), naanza kulipa kodi za PAYE, VAT, Income Tax ndani ya muda mfupi, nachochea mapato ya biashara zingine TANESCO umeme, vituo vya mafuta na si ajabu guest houses.

Sio huku kwenda kutupa hela ovyo kwenye kilimo, badala ya kuanza kufikiria kuanza kuongeza thamani ya kilichopo sasa.

Ni hivi Tanzania watu wenye hela wao wanachojua ni mabasi, hotels, ma lorry, bar/mgahawa, taxi, boda boda, maduka ya nguo na kuhonga.

Lakini mtu mwenye exposure uwezi kuwa na access ya mtaji Tanzania ukakosa cha kufanya kwenye kuongeza thamani kwa bidhaa za shambani; opportunities ni vast.

Ni muda wa serikali kufikiria viwanda wameshatupa hela za kutosha kwenye kilimo, viwanda vikiwepo watu watakimbilia mashambani wenyewe.

Kupata utajiri Tanzania na kufilisika ni ushamba. Sawa kuimba hujui, lakini Diamond Platnumz ambae ajamaliza ata darasa la saba akushinde na kwenye biashara huo sasa ni ufala.
 
Kwenye Kilimo kwanza waliuza Power tiller kwa milioni 9 badala ya milioni 5! Wakulima wakaliwa na sasa wanajidai kusahau.
 
Ni mwendo wa ‘pwagu na pwaguzi’ kwenye kilimo ni chaka lingine la ubadhirifu.

Kwenye huu mradi hao vijana watapewa mikopo yenye 5% interest. Sasa sijui kiasi gani hela taslimu na kiasi gani kitakuwa kwenye machinery watakazopewa na mbolea.

Hila ni hela ambayo siioni ikirudi anyway, kama wengine wanavyoshauri wapewe muda; ngoja tusubiri muda uongee.
 
pikipiki za maafisa ugani ambazo hazionekani zilikwenda wapi na bado hazijaulizwa! Sasa amekuja na hili ambalo halimo hata kwenye mpango mkakati wa pili wa kuendeleza kilimo wa Wizara, ASDP II.

Huu ni upigaji wa wazi kabisa!
Yaani ni mpango alioubuni yeye, na hapo hapo ukatekelezwa?
Yaani haumo kwenye mipango ya serikali?

Lord Have Mercy on Us!
 
Mie niliposikia eti katika kila eneo akitolea mfano wa shamba la hector 30000.

Vijana wanachukua labda hector 10000. Halafu mwekezaji mkubwa anapewa hector 20000.

Condition ya mwekezaji mkubwa ni lazima kununua mavuno yatakayopatikana kwenye hizo hekari 10000 za vijana.

Halafu maeneo mengine wamepanga kulima zabibu; sasa unless huyo mkulima mkubwa na yeye ana biashara nyingine ya kutengeneza juice ya zabibu au wine sioni mantiki ya yeye kutaka kununua zabibu zote hizo.

Kumbuka zabibu ni perishable good inayotakiwa kutumika haraka baada ya mavuno. Kwa ivyo zisipo nunuliwa in time zinaharibika.

Kawaida wenye uwezo huo huwa ni makampuni, mfano ‘Starbucks’ hiyo ni sehemu ya operation strategy yao duniani ata kama sio kwa jina lao directly wanaweza kuwa na wakala anaelima ‘Coffee Arabica’ na kuwa na uwezo wa kununua kiasi kikubwa kwa wakulima wadogo wa maeneo hayo. Huyo wakala anajukumu la kuwasaidia mbinu za kupata mavuno mazuri wakulima wadogo.

Kama ilivyo Mfindi kwa wakulima wa chai na Unilever, Babati na TBL kwa wakulima wa burley, Cadbury Chocolate na cocoa ya Ghana; etc. Mara nyingi ukiona hivyo elewa kuna conglomerates nyuma ya hiko kilimo.

Lakini mkulima ambae hana soko maalum kubwa kumtwika huo mzigo ni wazimu halafu mazao yenyewe sio nafaka ambayo watanzania wanahitaji.

Nimewahi kusikia mipango mingi ya ovyo Tanzania lakini huu, I am sorry to say kwa atakae kwazika nitakachoandika tuna watu wajinga mno serikalini how on earth watu walioenda shule waliweza pitisha mradi kama huu wenye kasoro zaidi ya 700 ambazo ata kuziongelea zinaleta uvivu ni waste of money aijwahi tokea Tanzania.

Huyo Bashe wamtoe hapo Kilimo na kumtafutia wizara nyingine.
Duh!

Mkuu 'Mayor', umeandika na unasomeka vizuri.

Hawa jamaa hata hawana 'pilot project' kuona uwezekano wa utekelezaji wa mpango; au hii ndiyo 'pilot' study yenyewe?

Bashe anaweza akawa na lengo jema, kama yalivyo malengo mengi tuliyokwishapitia humu nchini; lakini tatizo letu ni kutokuwa na stamina ya kusimamia na kuona matokeo ya mpango yanakofikia. Tuna tabia ya kushika mengi mno kwa wakati mmoja, na hatu'focus' kwenye jambo moja muhimu tukajua tumelifanya kwa uhakika na ukamilifu wake.

Kama ulivyoeleza vizuri kabisa, udhaifu wa mpango huu huenda ukatokana na hapo pa huyo tajiri atakayetegemewa kununua mazao. Hili wao (wapangaji) nadhani walililona kama ndiyo kinga, nguvu ya mpango kwa uwepo wa soko wa mazao ya hawa wakulima la uhakika; lakini hawakuchimba zaidi kufikria matatizo kama ulivyoyaeleza katika andiko lako hapa.

Inatosha tu kusema kwamba wameanza mpango kwa makosa mengi, kiasi kwamba mpango unaanza na udhaifu mkubwa.
 
Bashe maneno mengi nimekuja kumgundua kwenye deliverance yuko nyuma mno, anaweka viterm vyake vya uongo na kweli unaweza kusema ni akili kubwa kumbe kichwani hamna kitu
Yeye pale ana uhakika keshapata tender za kujenga, kulisha watu hana analopoteza. Zikifeli anawaangushia lawama wakulima

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Tumpe tu nafasi, labda he has a way which isn't obvious to us...Chamsingi kilimo chetu kiweze kuleta tija. I pray for his success!
 
Duh!

Mkuu 'Mayor', umeandika na unasomeka vizuri.

Hawa jamaa hata hawana 'pilot project' kuona uwezekano wa utekelezaji wa mpango; au hii ndiyo 'pilot' study yenyewe?

Bashe anaweza akawa na lengo jema, kama yalivyo malengo mengi tuliyokwishapitia humu nchini; lakini tatizo letu ni kutokuwa na stamina ya kusimamia na kuona matokeo ya mpango yanakofikia. Tuna tabia ya kushika mengi mno kwa wakati mmoja, na hatu'focus' kwenye jambo moja muhimu tukajua tumelifanya kwa uhakika na ukamilifu wake.

Kama ulivyoeleza vizuri kabisa, udhaifu wa mpango huu huenda ukatokana na hapo pa huyo tajiri atakayetegemewa kununua mazao. Hili wao (wapangaji) nadhani walililona kama ndiyo kinga, nguvu ya mpango kwa uwepo wa soko wa mazao ya hawa wakulima la uhakika; lakini hawakuchimba zaidi kufikria matatizo kama ulivyoyaeleza katika andiko lako hapa.

Inatosha tu kusema kwamba wameanza mpango kwa makosa mengi, kiasi kwamba mpango unaanza na udhaifu mkubwa.
Akili zao zinawatosha wenyewe huo mzabibu wenyewe hadi kuota na kuanza kutoa matunda ni kati ya miaka 3-5 sasa sijui muda huo hao vijana wanakula nini au ndio wanakopea mi zabibu (kangomba) that’s high risk lending kutokana na soko la zabibu na mkulima hana crop nyingine ambayo ina demand kubwa.

Maintenance ya shamba lenyewe la zabibu sidhani kama ni shughuli ya mtu mmoja, miti yake tu huwa sio stable inahitaji support, kuna swala la weed; huyo kijana lazima ata hitaji vibarua kusaidia upkeep ya shamba la hector 10.

Baada ya kuangaika kwa miaka 3-5, halafu soko sio guarantee.

Only in Tanzania.

Anyway huo ulioanza jana nadhani pilot scheme, labda kuna mikakati zaidi ambayo atuelewi so tuwape muda.
 
Akili zao zinawatosha wenyewe huo mzabibu wenyewe hadi kuota na kuanza kutoa matunda ni kati ya miaka 3-5 sasa sijui muda huo hao vijana wanakula nini au ndio wanakopea mi zabibu (kangomba) that’s high risk lending kutokana na soko la zabibu na mkulima hana crop nyingine ambayo ina demand kubwa.

Maintenance ya shamba lenyewe la zabibu sidhani kama ni shughuli ya mtu mmoja, miti yake tu huwa sio stable inahitaji support, kuna swala la weed; huyo kijana lazima ata hitaji vibarua kusaidia upkeep ya shamba la hector 10. Baada ya miaka 3-5
Binafsi nilidhani wanaanza na vitu kama maharagwe, mahindi, alizeti!
 
Sidhani kama wana mpango huo kwa Dodoma anyway.

Hata hivyo wana maeneo mikoa minne; Dodoma na Kagera. Sikumbuki vizuri mikoa mingine nadhani ni Kigoma na Mbeya (hii sina uhakika nayo).

Kuna maeneo watalima Alizeti nafikiri, na mazao mengine.

Ukienda YouTube kuna interview yake mwananchi digital ameelezea mambo mengi, it’s best to get it from the horse’s mouth kuhusu mkakati wao. Mie sikusikiliza yote ni half an hour long at one point I thought to my self I have heard enough of his nonsense for my tolerance.
 
Pesa za serikali zisigaiwe kwa wakulima au mtu yeyote wala serikali isijiingize katika kumiliki na kuendesha viwanda tena.
Kilimo chenye tija kitaletwa na wakulima wakubwa, viwanda vyenye kuhitaji malighafi za shambani.

Kwenye kilimo kuna sera nzuri sana za uwekezaji mkubwa hasa kwenye capital allowances, hizo hela wangewapa serious farmers wenye huo uwezo kama mkopo wafanye wenyewe.

Serikali itumie sehemu nyingine ya hizo hela kuwekeza kwenye viwanda ambavyo vipo tayari kutumia malighafi za shambani na kutengeneza access za kufikia bidhaa za mashambani.

Ni wakati wa kufikiria industrialisation sasa kama mkombozi wa ajira sio kilimo miaka nenda miaka rudi. Kiwanda kikubwa kinaajiri manager, mhasibu, operation manager, HR, mechanical engineer, dereva wa ma lorry na vans, kinanunua mazao kwa mkulima, kina nunua vifungashio kutoka kwenye biashara nyingine, na kina ajiri production worker luluki.

From that wasomi na wasio wanapata ajira na kutengeneza value chain kubwa ya supporting industries ambazo na zenyewe zitatengeneza ajira; lakini kilimo cha community won’t work na inatosha sasa serikali kufikiria kilimo ni muda wa viwanda.
 
Mie niliposikia eti katika kila eneo akitolea mfano wa shamba la hector 30000.

Vijana wanachukua labda hector 10000. Halafu mwekezaji mkubwa anapewa hector 20000.

Condition ya mwekezaji mkubwa ni lazima kununua mavuno yatakayopatikana kwenye hizo hekari 10000 za vijana.

Halafu maeneo mengine wamepanga kulima zabibu; sasa unless huyo mkulima mkubwa na yeye ana biashara nyingine ya kutengeneza juice ya zabibu au wine sioni mantiki ya yeye kutaka kununua zabibu zote hizo.

Kumbuka zabibu ni perishable good inayotakiwa kutumika haraka baada ya mavuno. Kwa ivyo zisipo nunuliwa in time zinaharibika.

Kawaida wenye uwezo huo huwa ni makampuni, mfano ‘Starbucks’ hiyo ni sehemu ya operation strategy yao duniani ata kama sio kwa jina lao directly wanaweza kuwa na wakala anaelima ‘Coffee Arabica’ na kuwa na uwezo wa kununua kiasi kikubwa kwa wakulima wadogo wa maeneo hayo. Huyo wakala anajukumu la kuwasaidia mbinu za kupata mavuno mazuri wakulima wadogo.

Kama ilivyo Mfindi kwa wakulima wa chai na Unilever, Babati na TBL kwa wakulima wa burley, Cadbury Chocolate na cocoa ya Ghana; etc. Mara nyingi ukiona hivyo elewa kuna conglomerates nyuma ya hiko kilimo.

Lakini mkulima ambae hana soko maalum kubwa kumtwika huo mzigo ni wazimu halafu mazao yenyewe sio nafaka ambayo watanzania wanahitaji.

Nimewahi kusikia mipango mingi ya ovyo Tanzania lakini huu, I am sorry to say kwa atakae kwazika nitakachoandika tuna watu wajinga mno serikalini how on earth watu walioenda shule waliweza pitisha mradi kama huu wenye kasoro zaidi ya 700 ambazo ata kuziongelea zinaleta uvivu ni waste of money aijwahi tokea Tanzania.

Huyo Bashe wamtoe hapo Kilimo na kumtafutia wizara nyingine.
Huyu alitakiwa kuwa wizara ya sanaa na utamaduni.
 
Pesa za serikali zisigaiwe kwa wakulima au mtu yeyote wala serikali isijiingize katika kumiliki na kuendesha viwanda tena.
Sio jambo zuri but kunahitajika mkakati wa serikali kuanzisha agenda ya viwanda na kuwafungua macho hasa wawekezaji wa ndani kwenye fursa zilizopo shambani.

Sio mtu akipata hela anafikiria apartment tu za kupangisha, wakati watu wanaweza tengeneza ata viwanda vidogo na kupata investment return nzuri tu kwa hela hiyo hiyo ya kujengea nyumba ya tsh 200 million.
 
Sidhani kama wana mpango huo kwa Dodoma anyway.

Hata hivyo wana maeneo mikoa minne; Dodoma na Kagera. Sikumbuki vizuri mikoa mingine nadhani ni Kigoma na Mbeya (hii sina uhakika nayo).

Kuna maeneo watalima Alizeti nafikiri, na mazao mengine.

Ukienda YouTube kuna interview yake mwananchi digital ameelezea mambo mengi, it’s best to get it from the horse’s mouth kuhusu mkakati wao. Mie sikusikiliza yote ni half an hour long at one point I thought to my I have heard enough nonsense.
Na hao matajiri watakaokuwa ma'boss' wa hawa vijana ni akina nani hasa?
Wamekwishapatikana katika mpango huo? Wamepatikana kwa njia zipi? Kulikuwa na tenda zilizotangazwa?

Na baadhi ya vijana hao wakulima wakikataa kuuza mazao yao kupitia kwa huyo "mnyonyaji", itakuwa vipi?

Hawa watanufaika kwa jasho la waTanzania wote kwa mikopo itakayolipwa na waTanzania?
 
Na hao matajiri watakaokuwa ma'boss' wa hawa vijana ni akina nani hasa?
Wamekwishapatikana katika mpango huo? Wamepatikana kwa njia zipi? Kulikuwa na tenda zilizotangazwa?

Hawa watanufaika kwa jasho la waTanzania wote kwa mikopo itakayolipwa na waTanzania?
Mimi hapo ndio kama wewe, sina hizo update, ninachojua ni kutokana na nilichosikia kutoka kwake mpaka dakika ya 10 hivi kwenye interview ya nusu saa.
 
Back
Top Bottom