Waziri Bashe na wizara mnaandaa Watanzania kwa mipango ya upigaji

Huyu mama katoa mawaziri wote wakiristo lakini wote waliokuwa waslam hajatumbua hata mmoja!
Bejamini Netanyahu said:
Bashe kinachomsaidia ni udini na mfumo ovu
 
Kwa hiyo bloangu pikipiki za maafisa ugani zimekuuma sana hadi umezitaja kwenye uzi wako sio?
 
Ulitaka afanyaje hebu tupe mfano mwingine
Tatizo mnasoma vichwa vya habari na kuja kumimbilia kujibu ujinga,soma kifungu baada ya kichwa cha habari....kazungumzia Wakulima kindaki ndaki wapo vijijini huo mpango ni wa kupigia picha tu.
Bashe haache ubabaishaji wanatumia hela hovyo tu.
 
Ilitakiwa waanze kwa jaribio kwanza kabla ya kuingia mazima la sivyo hela za ulaji tu hizo

Hakuna kitu hapo
 
Kwa hiyo bloangu pikipiki za maafisa ugani zimekuuma sana hadi umezitaja kwenye uzi wako sio?
Watu wanafata historia,historia yako ndo inaonyesha kwamba Miradi unayotaka kuifanya nyuma kuna ambayo ilishafanikiwa au lah!!!!,Piki piki zilipelekwa ila hakuna kinachozalishwa huko, wanatumia kupakia na tu kwenda sehemu za starehe mana wanaiba na mbolea pia wanapiga hela.
 
Kwa hiyo maafisa ugani wote ni walevi,wanakwenda sehemu za starehe na ni wezi wa mbolea?

Punguzeni makasiriko majobless,changamkieni fursa hzo zilizoletwa na Serikali mkalime muinuke kiuchumi.

Mkiwa vizuri mifukoni mtapunguza chuki na husda za ukosefu wa ajira.
 
Kilimo hakitafanikiwa mana tangu achukue atamu mvua hakuna.
 
Nilikuwa naangalia sana, kati ya zile kampuni kweli Amna ya kisomali pale na ya waarabu pale na wachina ?
 

Aiseee jamaa kaongea madini sana.
Mods fungeni uzi huyu jamaa kamaliza
 
Wafanye upesi Sana kumtoa kabla hasara yake ijaonekana Ni mjinga hate kwa kumuangalia jins anavyo ongea unapata waswasi kuwa Ni tapeli mno

Akwenda kwenye biashara yake ya kuandika magazeti

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta hela uje nunua hayo mashamba maana watayauza

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…