Waziri Bashe tafakari uwezo wako kabla hujaharibu kabisa sekta ya Kilimo

chuki tu imekujaa huna kingine. Utakufa na chuki zako watanzania tunamwunga mkono ni kijana mbunifu sana na mchapakazi.
 
Kweli sijafikisha ten yrs lakini nimekuwa very successful knye biashara kwa muda mfupi kwa kutumia hivi hizi governments incentives na grants zao, naingia barabarani ni asubuhi nikifika ofisini ntakujibu hoja zako taratibu sana
 
Kweli sijafikisha ten yrs lakini nimekuwa very successful knye biashara kwa muda mfupi kwa kutumia hivi hizi governments incentives na grants zao, naingia barabarani ni asubuhi nikifika ofisini ntakujibu hoja zako taratibu sana
It was obvious ukishakaa muda huko utaelewa kwanini waliokuzidi muda awafananishi mambo ya hizo nchi na Tanzania.

Roughly without official research 40% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa ni diaspora wanaoishi developed nation, awasemi tu na awatolei mifano ya sera za nchi wanazo ishi kwasababu uwezo ni tofauti.

Good timing ata mimi kwangu muda wa kufanya shughuli zingine.
 
HIYO NI SHIDA YA WABUNGE WENYE MIDOMO KAMA PAROT HAWATOI SUHUHU NDO MAANA MAGUFULI ALIKUWA ASIKILIZI CHA MTU YYEY ANATENDA TU, MAANA UKIWASIKILIZA WATANZANIA UTAKWAMA SANA
Hapana alipendekeza kuwa ni bora kuwatumia vijana ambao tayari wanajishughulisha na kilimo wawezeshwe!!na walime mazao yanayotumia muda mfupi kukomaa (miezi 3-6) kwani itawafanya wapate pesa mapema.
 
Hivi unachukuaje Wananchi Mtaani unawapa Mashamba Wakalime .. Wakati una Chuo cha Kilimo (SUA). Kwanini Usichague Hekari kadhaaa hii nchi ukawapa Vijana waliohitimu hapo Wakaleta Tija kwenye Kilimo kuliko kunichukua mm wa mtaani
 

Wakati was jiwe hamkuhoji habari za kuzaliwa
 
Yaonekana hata waziri hana ramani ya mikoa ya kilimo ktk nchi hii ndo maana anafungua mashamba Dodoma.
wewe sema una chuki binafsi na huyo Waziri lakini mashamba Dodoma yako tangu enzi za miaka ya tisini, mfano yale ya umwagiliaji ya Bahi. Je na hayo amefungua yeye?
 
Nakubaliana na wewe katika hilo la kujenga barabara za lami vijijini ila sio haya ya kukusanya wakulima sehemu moja kutoka mjini na kuandaa mashamba ya Hekta 1 kwa milioni 17. Mbolea za ruzuku hata yeye Bashe amekiri imekuwa na matatizo.
 
Pa kuanzia ni kujenga miondombinu ya barabara na umwagiliaji vijijini kwa wakulima na mashamba yaliyopo sasa ya mazao muhimu ya alizeti, ngano, miwa, parachichi, mahindi na mpunga badala ya kwenda kuanzisha vitu vipya na kutaka kufanya kila kitu wakati hakuna hizo pesa.
 
Ulinzi alionao Bashe ni Udini. Hapo ndo nalaani dini. Yaani mtu anaona mtu ni mwizi lakini anamkumbatia kwa kuwa tu ni mwislamu. Kwani hakuna waislamu wema? Kwani hatuna waislamu wa-TZ kuliko huyu msomali aliyejiandikisha kuwa m-TZ?
Unamchukia sana Bashe, Yaelekea alimkunja viliyo mkeo. Inatakiwa alaumiwe kama project yake itakwama.
 
Mazito haya mambo...
 
Kikubwa hapa ni hoja ya uraia
 
Wanazalisha halafu wanategemea mazao hayo yakauzwe soko la nje yaani huko mataifa ya nje. Kwahyo soko likicheza tu huku nje huo mradi unakuwa kushney.

Ifike wakati tuanze tuwekeze katika kuzalisha mazao ambayo tunatumia wenyewe kama mazao ya Biashara ya chakula kama Mchele, maharage, ndizi, matunda, ufuta, Ngano, mahindi, viazi, na mifugo.

Huko tutaweza hata kuboresha uchumi wetu. Sasa unasikia uzalishaji wa mikonge, sijui chikichi, mara pamba, mara gold, mara mafuta, mara uranium, sisi hivyo vitu hatutuumii na hata tukijiweka huko miradi haigusi sehemu kubwa ya wanajamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…