Huyu mzushi sana anajidanganya anajua ana tikek ya uwaziriAkili ya wapi hii katika zama kama hizi?!
Bashe kwa asili ni lobbyist, kwahiyo jitahidi tu kumuelewa. Kuna maana nyingi sana za neno "kulazimisha" ikiwemo kumuacha mtu hana option nyingine zaidi ya ile uliyoileta wewe katika meza ya mazungumzo.Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hawataiomba Benki Kuu ya Tanzania bali watailazimisha kutengeneza mfumo utakaowezesha Benki ya Ushirika kupata upendeleo wa kurahisisha utoaji wa mikopo kwa wakulima
Pia soma Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa
Ameonyesha udhaifu upi kutokana na kuongea kwake mkuu ?Waziri wa Kilimo anahusikaje na utendaji kazi wa Benki Kuu. Bashe apunguze kuongea, kila kukicha anaonesha udhaifu.
Unataka kusemaje mkuu ?Huyu mzushi sana anajidanganya anajua ana tikek ya uwaziri
Huyu ni kijana aliyelewa kabisa madaraka , namfuatilia halafu nacheka tu !Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hawataiomba Benki Kuu ya Tanzania bali watailazimisha kutengeneza mfumo utakaowezesha Benki ya Ushirika kupata upendeleo wa kurahisisha utoaji wa mikopo kwa wakulima
Pia soma Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa
Hivi ni kweli kwamba hata dagaa wa mwanza wanaanikwa hapo ?Huyu mwarabu koko anaongea nini. Tulilazimisha kuipa upendeleo chato matokeo yake uwanja wa ndege sahivi tunaanika samaki na mahindi. Tujifunze
Akitaka afanye hela za Korosho, hela za sulphur,stakabadhi ghalani,all agri rerated money, saccos zipitie hiyo benk hapo sawa, lakini tayari NMB,CRDB wana mikataba na hiyohiyo wizara anayoiongoza😁Bashe kwa asili ni lobbyist, kwahiyo jitahidi tu kumuelewa. Kuna maana nyingi sana za neno "kulazimisha" ikiwemo kumuacha mtu hana option nyingine zaidi ya ile uliyoileta wewe katika meza ya mazungumzo.
Nadhani hiyo ndio anayoimaanisha waziri Bashe.
Tukiweka pembeni mihemko, unazi, mazoea mabaya na uzamani, tutakubaliana kwamba huyu jamaa anao uthubutu wa kuyabadili yale yanayoonekana kuwa kikwazo katika kilimo.
Bashe atatusaidia.
Tumpe muda (hata kama hatumpendi sana).
Ameongea vizuri kabisaWaziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hawataiomba Benki Kuu ya Tanzania bali watailazimisha kutengeneza mfumo utakaowezesha Benki ya Ushirika kupata upendeleo wa kurahisisha utoaji wa mikopo kwa wakulima
Pia soma Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa
Hili tatizo linahusu zaidi sisi Waafrika ni kwamba ukishaambiwa ni kiongozi mara unajitia ufahamu kichwani kuwa wewe una akili, hekima na busara katika kila jambo kuliko kila mtu unayemwongoza au ambaye hana cheo juu yako! Kwa maneno mengine ni kutokujua maana ya uongozi kwa sababu ya ama shule nyembamba, uzoefu finyu au kiburi. Ukitazama historia, utakuta watu hawa wanazidiwa hata na Ma chifu wa jadi au Sultani ambao walikuwa na jopo la washauri ambao waliwasaidia kuziba mapengo ya uwezo wao.Uzuri, hawa watu mwishowe huwa wanagundua tatizo lao lakini wanakuwa wamekwisha kosa fursa ya uongozi wakati huo. Nitatoa mifano hivi karibuni.Waziri wa Kilimo anahusikaje na utendaji kazi wa Benki Kuu. Bashe apunguze kuongea, kila kukicha anaonesha udhaifu.
Bila kuilazimisha kutoa mikopo yenye masharit nafuu kilimo wakisahauWaziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hawataiomba Benki Kuu ya Tanzania bali watailazimisha kutengeneza mfumo utakaowezesha Benki ya Ushirika kupata upendeleo wa kurahisisha utoaji wa mikopo kwa wakulima
Pia soma Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa
Amesaidia nini cha maana zaidi ya kubwabwaja tu. Hi staili ya kelele nyingi na ubabe wa kishamba ilishafeli toka awamu ya 5. Hata yeye ni suala la mda tu!Bashe kwa asili ni lobbyist, kwahiyo jitahidi tu kumuelewa. Kuna maana nyingi sana za neno "kulazimisha" ikiwemo kumuacha mtu hana option nyingine zaidi ya ile uliyoileta wewe katika meza ya mazungumzo.
Nadhani hiyo ndio anayoimaanisha waziri Bashe.
Tukiweka pembeni mihemko, unazi, mazoea mabaya na uzamani, tutakubaliana kwamba huyu jamaa anao uthubutu wa kuyabadili yale yanayoonekana kuwa kikwazo katika kilimo.
Bashe atatusaidia.
Tumpe muda (hata kama hatumpendi sana).
Well spoken mkuu. Bashe ujuaji mwingi mpaka anazidisha chumvi.Hili tatizo linahusu zaidi sisi Waafrika ni kwamba ukishaambiwa ni kiongozi mara unajitia ufahamu kichwani kuwa wewe una akili, hekima na busara katika kila jambo kuliko kila mtu unayemwongoza au ambaye hana cheo juu yako! Kwa maneno mengine ni kutokujua maana ya uongozi kwa sababu ya ama shule nyembamba, uzoefu finyu au kiburi. Ukitazama historia, utakuta watu hawa wanazidiwa hata na Ma chifu wa jadi au Sultani ambao walikuwa na jopo la washauri ambao waliwasaidia kuziba mapengo ya uwezo wao.Uzuri, hawa watu mwishowe huwa wanagundua tatizo lao lakini wanakuwa wamekwisha kosa fursa ya uongozi wakati huo. Nitatoa mifano hivi karibuni.
Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app