Waziri Bashe: Tutailazimisha Benki Kuu kuipa upendeleo Benki ya Ushirika

Waziri Bashe: Tutailazimisha Benki Kuu kuipa upendeleo Benki ya Ushirika

Bashe kwa asili ni lobbyist, kwahiyo jitahidi tu kumuelewa. Kuna maana nyingi sana za neno "kulazimisha" ikiwemo kumuacha mtu hana option nyingine zaidi ya ile uliyoileta wewe katika meza ya mazungumzo.
Nadhani hiyo ndio anayoimaanisha waziri Bashe.

Tukiweka pembeni mihemko, unazi, mazoea mabaya na uzamani, tutakubaliana kwamba huyu jamaa anao uthubutu wa kuyabadili yale yanayoonekana kuwa kikwazo katika kilimo.
Bashe atatusaidia.
Tumpe muda (hata kama hatumpendi sana).
Nakubaliana na wewe, jamaa anajua anachofanya na yuko very passionate.
 
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hawataiomba Benki Kuu ya Tanzania bali watailazimisha kutengeneza mfumo utakaowezesha Benki ya Ushirika kupata upendeleo wa kurahisisha utoaji wa mikopo kwa wakulima



Pia soma Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa

Bashe aache usanii juzi tu hapa amejitokeza hadharani kukubaliana na ushauri wa Mpina kuhusu Mfumo wa uagizaji wa mbolea ambao bungeni aliwambia wabunge kuwa Mpina anapotosha na hili nalo bomu lingine linakuja kulipuka atarudi tena kukubaliana na Mpina badala ya kuongeza wigo kwa TADB wewe unazungumzia kuanzia benki ya Ushirika tena kwa kuishinikiza BOT ifanye unavyotaka
 
Back
Top Bottom