Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Nakubaliana na wewe, jamaa anajua anachofanya na yuko very passionate.Bashe kwa asili ni lobbyist, kwahiyo jitahidi tu kumuelewa. Kuna maana nyingi sana za neno "kulazimisha" ikiwemo kumuacha mtu hana option nyingine zaidi ya ile uliyoileta wewe katika meza ya mazungumzo.
Nadhani hiyo ndio anayoimaanisha waziri Bashe.
Tukiweka pembeni mihemko, unazi, mazoea mabaya na uzamani, tutakubaliana kwamba huyu jamaa anao uthubutu wa kuyabadili yale yanayoonekana kuwa kikwazo katika kilimo.
Bashe atatusaidia.
Tumpe muda (hata kama hatumpendi sana).