Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiherehere chake ndio kinamponza mpaka anahusishwa na mada hiiMakonda amemtaja wapi hapo, we una roho ya kichawi
Unahitaji Diploma kujua hilo?Makonda amemtaja wapi hapo, we una roho ya kichawi
Kwani yeye ni mtendaji wa chama?Na kwenye chama bosi wake nani?
Mboni hajamtaja mtu unataka kufombanisha watu kilazima?"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Mpaka utafuniwe ndio uelewe? Uliingiaje JF kama akili zako ni fupi kiasi hiki ina maana hujui mtiririko wa matukio yanavyoenda?Makonda amemtaja wapi hapo, we una roho ya kichawi
Ni chama sasa sio serikali hausiani nayoNa kwenye chama bosi wake nani?
Kiutendaji huko unakoenda wewe sasa ni kwengineKwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??
Au Mimi ndo cjaelewa 😂😂😂
Hiyo ni serikali lazima aitii serikali ila bashite hakunaga nikiongozi wa chamaKwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??
Au Mimi ndo cjaelewa 😂😂😂
Kwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??
Au Mimi ndo cjaelewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Source: Trust me BroPost haina chanzo cha habari, itakuwa feki