Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bashe siku ukienda Chuga utapokelewa na Mkuu wa Mkoa mteule ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Ningekuwa PM au Waziri, Ijumaa jingeenda Arusha kikazi na kwenda kumfokea na kumuagiza Makonda hadharani. Dogo alijisahau sana kama kawaida yake.
Don't argue with a fool, people might fail to distinguish who is a fool between you.

Huyo shoga ni kumuacha hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom