Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ni wapi mwenezi amejigeuza Rais wa nchi!!huo u MC anaoufanya kwa watendaji mbali mbali mbele ya wananchi au kuna jingine!!!

nchimbi sio mwenezi,ni katibu mkuu wa chama.
Umeona amri anazotoa majukwaanì?

Ulishasikia amri kama hizo akitoa Polepole au Nape?

PIli kuna tofaiti gani ya mikutano ya Makonda ya Magufuli??
 
Bashe, unajua maana ya chama kushika hatamu za uongozi?
Sema tu wananchi tunadharauliwa sana lakini huyu hakupaswa kuendelea kubaki ofisini.
Yaani Wizara imemshinda kabisa!
Iko wapi BBT?
Bei ya sukari ikoje sasa hata baada ya kutoa kwake bei elekezi uchwara?!
Mengine mtaongezea
 
Kwa nini sukari bei imepanda?
 
Ukitaka CCM ujue tabia zao subirigi wakati wa uchaguzi

(1) huungana na kupakazia Kila kitu mkutano mkuu
(2) kamati kuu

Mwisho ,bibi awe makini sana lowasa shupavu sana ,watu walimkazia na nyimbo zikaimbwa ,ila mpaka Leo Yuko kujichungia mifugo yake
 
Majibu ya uoga humu inaonyesha jinsi gani hili liinchi la wajinga
Ndio maana ccm anajipetea tu
Mafisi kila kona mpaka jf bado yanaogopa
 
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.

View attachment 2885428

View attachment 2885860
Wananchi hawawezi kumhoji; yeye ni bosi. Matamko mengine ni ya kijinga sana. Kama waziri hakutakiwa kutoa tamko la kipuuzi kama hilo. Sifa mojawapo kuu ya uongozi ni kuwa humble
 
Hivi viburi vinafanya hawa wanajiita washindilie chupa watu makalioni bila hofu.
○ Hahojiwi na polisi wala nani
○ Wananchi hawana uwezo wa kuwahoji wanasema wanachotaka
○ Haya pembejeo hazijulikan upatikanaji lkn ndio kasema hatuwezi kumuhoji
Hivi kuwa Low profile kama VP ina mgharimu nini?
 
Wananchi hawawezi kumhoji; yeye ni bosi. Matamko mengine ni ya kijinga sana. Kama waziri hakutakiwa kutoa tamko la kipuuzi kama hilo. Sifa mojawapo kuu ya uongozi ni kuwa humble
Kalewa madaraka
 
Kwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??

Au Mimi ndo cjaelewa 😂😂😂

Wazee I was joking nothing serious, punguzeni kuni qoute 😂😂😂
Ni changamsha Uzi tu
Polisi sio mtu ni taasisi
 
Back
Top Bottom