Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Kwani Mwenez anatumia kifungu gani kujigeuza yeye ni Rais wa nchi?kwani sheria zimemtaja waziri gani kuwa mwenye kinga ya kushtakiwa??
Mbina Nchimbi katulia tu.Tanzania hatuna utawala wa sheria.Ni vurugu mechi tu kama tumelaaniwa.