ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Hahahah Mh. Bashe alikula hela za Mh. Lowasa ila jamani watu wezi balaa na bado kalamba BBT hahaha, halafu anajidai eti mzalendo wakati mambo yakiwa magumu anasepa zake Somaliland na jamaa zake wengi wezi tu. Ngoja tumuone.Chama kilichounda serikali hii,kwa hiyo chama hicho hakina mamlaka ya kuihoji seriakali yake!?. Ujinga ni mzigo mkubwa sana kichwani.