Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chama kilichounda serikali hii,kwa hiyo chama hicho hakina mamlaka ya kuihoji seriakali yake!?. Ujinga ni mzigo mkubwa sana kichwani.
Hahahah Mh. Bashe alikula hela za Mh. Lowasa ila jamani watu wezi balaa na bado kalamba BBT hahaha, halafu anajidai eti mzalendo wakati mambo yakiwa magumu anasepa zake Somaliland na jamaa zake wengi wezi tu. Ngoja tumuone.
 
Wananchi hawawezi kumhoji; yeye ni bosi. Matamko mengine ni ya kijinga sana. Kama waziri hakutakiwa kutoa tamko la kipuuzi kama hilo. Sifa mojawapo kuu ya uongozi ni kuwa humble
Ni kweli ilikuwa kauli mbovu sana, hasa ktk kipindi hili sisi chawa tunahangaika kumtafutia Dkt Samia kura toka kwa wananchi, watu wanamaumivu ya vitu vingi. Nadhani soon Zuhura atatoa mkeka
 
Ningekuwa PM au Waziri, Ijumaa jingeenda Arusha kikazi na kwenda kumfokea na kumuagiza Makonda hadharani. Dogo alijisahau sana kama kawaida yake.
 
Ataificha wapi sura yake DAB kweli cheo ni mapito tu, leo mjumbe wa nyumba 10 kesho raia wa kawaida
 
Hahahah Mh. Bashe alikula hela za Mh. Lowasa ila jamani watu wezi balaa na bado kalamba BBT hahaha, halafu anajidai eti mzalendo wakati mambo yakiwa magumu anasepa zake Somaliland na jamaa zake wengi wezi tu. Ngoja tumuone.
Vipi tena🤣🤣😂
 
Ningekuwa PM au Waziri, Ijumaa jingeenda Arusha kikazi na kwenda kumfokea na kumuagiza Makonda hadharani. Dogo alijisahau sana kama kawaida yake.
Ngoja tumtume waziri wa TAMISEMI aende akamfokee, baada ya siku 2 tunamtuma waziri Nape naye akamfokee.
 
Tunausubiri Ubalozi USA utoe tahadhari kwa raia wake wanaokuja kutalii Mkoani Arusha.

Tutapoteza Mamilioni ya US Dollars ambayo Royal Tour ya Mama imefanya kazi kubwa halafu Mbwiga mmoja anakuja kuharibu Daah!!
 
Kama kuna kosa la kisiasa Mama alilifanya NI kumpa Bashite hiyo nafasi ambayo direct anaingia katika kamati kuu ya CCM, haya yalikuwa .I .akosa .akubwa Sana asifanye tena kosa hili.

Halafu Kasim Majaliwa usiendekeze njaa hata ukiondolewa leo uwaziri mkuu unalipwa mshahara mpaka utakapokufa, inashangaza na wewe ukaingia kwenye mfumo wa Makonda, inasikitisha Sana.

Waziri mkuu, halafu Mjumbe wa kamati kuu unambabaikia Makonda?
 
Back
Top Bottom