Ntambirweki again
JF-Expert Member
- Feb 25, 2022
- 213
- 191
Dah, migogoro ya ardhi tena!!! Mnaosema mwanamke hawezi kuwa wizara hiyo, mbona tunashindwa kutafakari? Amri jeshi kwa sasa si mwanamke? Je, amri jeshi na waziri nani mkubwa? Kwanza kule atakuweko waziri kwenye mambo ya utawala Ila sidhani kama ana nguvu za kuingilia mambo Yao kama inavyodhaniwa.