Ntambirweki again
JF-Expert Member
- Feb 25, 2022
- 213
- 191
Labda wa mazenseFuture President
Hauoni nchi inavyovurugwa sababu ya amri jesh kuwa n..Dah, migogoro ya ardhi tena!!! Mnaosema mwanamke hawezi kuwa wizara hiyo, mbona tunashindwa kutafakari? Amri jeshi kwa sasa si mwanamke? Je, amri jeshi na waziri nani mkubwa? Kwanza kule atakuweko waziri kwenye mambo ya utawala Ila sidhani kama ana nguvu za kuingilia mambo Yao kama inavyodhaniwa.
Thibitisha!!Wale walikua no show tuu ! Wanaume secret service ndio walimlinda
Ni kweli mkuu unaona hamkubali ila, unahisi tupo salama huyo jamaa kwenda pale, hivi ni mnyambo kweli🙃🙃🙃Humkubali kinoma
Acha wivu wa kikeHamna Waziri hapo
Ni BOMU, BOMU, BOMUUUUU. Nakuunga mkono hakuna waziri hapo. Rais hajaitendea haki Wizara nyeti kama hii. Duh balaaa tupu.Hamna Waziri hapo
Hata wizara ya utamaduni, michezo, yaani kucheza ngoma, mashairi.....akina marioo, Mkude na kapombe ilimshindaAcha wivu wa kike
Wizara imepoteza unyeti wake... kila mtu sasa anaweza kuwa waziri...
Acha dharau kwa kipi hasa kinachofanywa na mwanaume ambacho mwanamke hawezi yan wewe umeona kipya kipi ambacho kimemshinda yule mama aliyetolewa cjui unatokea vijiji vya wapi wewe nduguSiyo fikra za kijima,ndo ukweli wenyewe.Ikitokea vita huyo wa jikoni ataomba hiyo nafasi kuiacha mwenyewe
Anatoka kabila kubwa tusije kufanya makosa tenaFuture President
Acha chuki za kindeziWizara imepoteza unyeti wake... kila mtu sasa anaweza kuwa waziri...