mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Unashuka mbezi,unakaa mbagala.[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu Waziri ni hopeless, baala ya kutoa solution, anatoa makongamano ya sijui LALTRA , RC and the like! Unaona kabisa kuwa anakwepa lawama badala ya kutoa solution kuwa as long as basi limefika Stand, basi liende njia ambazo wamezipanga kama Mbagala, Gongolamboto etc kama njia ya ku win wateje. Then likianza safari linaanzia huko Mbagala Stand, then Moshi, Tanga etc. To me that is that much simple to handle!BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM
Na OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa mabasi ili kuweka utaratibu mzuri ambao ni shirikishi wa utoaji huduma kwa wananchi kwenye kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli Dar es salaam.
Bashugwa ametoa maelekezo hayo leo Agosti, 30, 2022 wakati akitoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya utoaji wa huduma kwa wananchi wanaoingia Mkoa wa Dar es salaam kupitia kituo kikuu cha Mabasi cha Magufuli.
Bashungwa amesema amekuwa akifuatilia kwa Ukaribu Malalamiko yanayotolewa na wananchi Kuhusu huduma zinazotolewa katika stendi ya Magufuli kwa abiria wanaoingia na kutoka katika mkoa wa Dar es salaam ambayo yanatafisiri vibaya malengo ya Serikali ya Kutenga bilioni 50 kujenga stendi hiyo.
“Kuna abiria wanaoingia mkoa Dar es salaam na kushushwa katika stendi ya Magufuli lakini wanahitaji mabasi hayo yawafikishe mjini kwenye vituo vya mabasi vilivyojengwa na sekta binafsi, kwahiyo Mkuu wa Mkoa akikuta na wadau hao wataona namna nzuri ya kusimamia suala hilo” amesema Bashungwa.
Aidha, Bashungwa amemtaka Mkuu wa Mkoa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) pamoja na wadau wengine ili kukubaliana na kuweka utaratibu utakaorahisisha utoaji wa huduma bora bila kuleta adha kwa wananchi wala kuadhiri malengo ya Serikali kujenga stendi hiyo.
Amesema Serikali inaweza kutimiza maelengo na Kusudi la Uwepo wa Stendi ya Magufuli bila kuwapa adha wananchi wanaolazimika kushushwa katika stendi na kuingia Kwenye gharama za kutafuta usafiri mwingine wa kuwafikisha mjini wakati yapo mabasi yanaweza kupita katika stendi na yakaendelea na safari ya kuwafikisha abiria Mjini.
Pia, Amefafanua kuwa dhamira ya Serikali ni kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi na kuendelea kuimarisha usalama wa wananchi na Wageni wanaoingia nchini kwa kutumia usafiri wa magari kwa kuwatambua kupitia stendi hiyo ambayo kuna idara ya Uhamiaji na vyombo vingine vya usalama.
Kwa kuondoa changamoto ambazo zimekuwa zikilalamikiwa bila kuathili uwekezaji uliofanywa na sekta binafsi nchini.
Lile ni bomu in all aspewcts of uongozi na akili kichwani. Huyu ni stupid Chawa maana chawa wengine wana afadhaliMakala ni bomu kiutendaji.
Ni vile alibebwa bebwa ndani ya chama lakini sijawahi kuona kama anayo tija kiuongozi. Kilaanapowekwa ama kuteuliwa lazima headlines zake ziwe upande wa malalamiko dhidi ya serikali.
CCM imeishiwa viongozi ndo maana kila siku wateuliwa ni walewale hadi wafie madarakani. Dawa ni kuchagua chama mbadala ili nchi ipate uongozi sahihi.
Makala apumzike sasa
Unyanyaswaji ndiyo matunda ya uhuru tulioutaka, mkoloni alikuwa mtu mwema.BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM
Na OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa mabasi ili kuweka utaratibu mzuri ambao ni shirikishi wa utoaji huduma kwa wananchi kwenye kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli Dar es salaam.
Bashugwa ametoa maelekezo hayo leo Agosti, 30, 2022 wakati akitoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya utoaji wa huduma kwa wananchi wanaoingia Mkoa wa Dar es salaam kupitia kituo kikuu cha Mabasi cha Magufuli.
Bashungwa amesema amekuwa akifuatilia kwa Ukaribu Malalamiko yanayotolewa na wananchi Kuhusu huduma zinazotolewa katika stendi ya Magufuli kwa abiria wanaoingia na kutoka katika mkoa wa Dar es salaam ambayo yanatafisiri vibaya malengo ya Serikali ya Kutenga bilioni 50 kujenga stendi hiyo.
“Kuna abiria wanaoingia mkoa Dar es salaam na kushushwa katika stendi ya Magufuli lakini wanahitaji mabasi hayo yawafikishe mjini kwenye vituo vya mabasi vilivyojengwa na sekta binafsi, kwahiyo Mkuu wa Mkoa akikuta na wadau hao wataona namna nzuri ya kusimamia suala hilo” amesema Bashungwa.
Aidha, Bashungwa amemtaka Mkuu wa Mkoa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) pamoja na wadau wengine ili kukubaliana na kuweka utaratibu utakaorahisisha utoaji wa huduma bora bila kuleta adha kwa wananchi wala kuadhiri malengo ya Serikali kujenga stendi hiyo.
Amesema Serikali inaweza kutimiza maelengo na Kusudi la Uwepo wa Stendi ya Magufuli bila kuwapa adha wananchi wanaolazimika kushushwa katika stendi na kuingia Kwenye gharama za kutafuta usafiri mwingine wa kuwafikisha mjini wakati yapo mabasi yanaweza kupita katika stendi na yakaendelea na safari ya kuwafikisha abiria Mjini.
Pia, Amefafanua kuwa dhamira ya Serikali ni kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi na kuendelea kuimarisha usalama wa wananchi na Wageni wanaoingia nchini kwa kutumia usafiri wa magari kwa kuwatambua kupitia stendi hiyo ambayo kuna idara ya Uhamiaji na vyombo vingine vya usalama.
Kwa kuondoa changamoto ambazo zimekuwa zikilalamikiwa bila kuathili uwekezaji uliofanywa na sekta binafsi nchini.
Wajaribu wao wasipande yale madude.atoke mwanza afike saa saba za usiku ashushwe mbez halafu aone adha anayoipata mja wa mola.mambo haya yahitaji urumbimbi na ruwaza kuweza kuyapatia insafu na sio hondohondo mlez wa wanamakalla hata Elimi yake ni ya mashaka tu! mjinga mjinga anayefata upepo na kuroga sana.
alichokifanya ni KUPIGA DILI za Mabasi ya mwendokasi eti abiria washushwe wapande mwendokasi! mabasi 80 utegemee yahudumie watu elfu 70 kwa siku ni UPUMBAVU wa hali ya juu!
ufisadi hautaisha kwa kuchagua wahuni kama Makalla
He is aibu yetu kama chamaLile ni bomu in all aspewcts of uongozi na akili kichwani. Huyu ni stupid Chawa maana chawa wengine wana afadhali
kwani wewe nini kinakusumbua mtu akienda na basi mpaka mjini?Kama ndivyo, hiyo stendi ni ya nini sasa? Ukisikiliza malalamiko ya kila mtu huwezi kusonga mbele. Hilo likiruhusiwa naiona stendi ikigeuka kuwa white elephant.
Ndio mana nilisema wajaribu na wao siku moja watumie mabas na sio hayo ma lexus.tatizo la sasa.zaman wafalme walikua wanajivika kiraia usiku wanaingia mitaan kuona namna gan raia wao wanaishi,enz za umarr aliyeweza kushinda mpaka dola za ulaya,alikuwa kajivika guo yeye na msaidiz wake wakawa wanatembea tembea mitaa ya madina usiku.kupita akakuta nyumba watoto wanacheza jikon kuna sufuria inachemka huku mama wa ile nyumba anaapiza kwa mungu eeh mungu huyu Umar huyu hajui adha tunazopata raia wake leo nachemsha mawe ku sufria kudanganyia watoto wajue kuna chakula,wachoke kusubir walale na njaa,Umar kasikia na msaidiz wake.akaondoka akaenda baitul mal(food bank) akachukua ngano,samli tende akatia m kiroba akajitwika,msaidiz wake anamwambia nipe nijitwike ya amiru l muuminen.wewe ni rais wa dola.Umar alikataa akajitwika akaenda kwa yule mama akampa vitu vile na yule mama alifurah akapikia watoto na akamuombea dua na akasema laiti Umar angekua ana roho kama yako bas umar akamwambia unamfaham Umar mwenyewe? Yule mama akasema hapana.sitak hata kumjua hana hurum na raia wake.bas umar akamwambia kesho uje mahal uchkue chakula cha kutosha.kufika kesho tahamak anamkuta yule aliyeleta chakula jana kumbe ndio umar mwenyewe na mama kusikitika sana.hiv ndio alikua anafanya umar kujivika viatu vya watu kujua yanayowasibu.ukiyajua hutaweza ku impose vitu ambavyo wewe mwenyewe hutaweza.Kwa vile wao wanapelekwa na maV8 hadi milangoni mwao hawajawahi kuonja adha tunayoipitia raia wa kawaida..
Juzi natoka mkoa tumeingia jijini usiku, bahati mbaya nikawa nimeshamuandaa mpokeaji pale stand maeneo ya (Shekilango/Manzese) matokeo yake tukashushwa kilazima pale Mbezi stand na hapo nilikuwa hovyo kiafya, ikabidi tukutane na mpokeaji kimara , sasa bodaboda hadi kimara mwisho wanalazimisha elfu 6 nikalazimika kukokota begi kubwa la mgongoni hadi nje ndio nikapata bodaboda kwa elfu 4... IMAGINE HII PESA INAYOTUPWA NJIANI haikidhi hata robo ya umbali wa eneo la ukaazi..
Kama swala ni ushuru wa kuingilia stand lilokuwa ni swala la kuitisha hizo 200 zao ingawa mathematically abiria wanaoingia na basi huwa wanakuwa wameshakata tiketi za kusafiria tayari.
Ukimwambia huyo Boss wa mkoa apande basi kama abiria wa kawaida kutoka Mwanza tena apewe na nusu kiroba tu cha mahindi, then aingie usiku ashuke Mbezi akapande daladala aunge zimpeleke hadi kwake Masaki atapiga chenga kibao.
"Kwakuwa hatupendi kuambiwa yasiyo ya kutusifia basi ni swala dogo tu la kuacha ubinafsi na kutojali.."
Kwenye makaratasi utakuta issue ya "stakeholders involvement" ila kwenye uhalisia ni tofauti
"Kama jela ni pazuri mpeleke mwanao" wahenga wa kisasa
Hili hata mim nimeliona.urafik pale pamechangamka sana kwa zile ofis za mabasNa hapo kachelewa. Utaratibu wa Vituo vya Mjini vya Mabasi ambavyo vimejengwa kwa fedha zetu kutumika kutunyanyasa wananchi ni utaratibu wa viongozi ambao hawana uwezo wa kufikiri. Huu ni utaratibu wa kuwatafutia biashara wenye daladala na vishughuli vidogo kwenye miji hiyo bila kujali kero wanayowaanzishia abiria ambao wametoka masafa marefu ya safari zao kuanza safari upya kwenye stendi hizo. Utaratibu huo ulikuwepo hata kituo cha Mabasi Igumbiro Iringa na hapa Dar ndiyo wanauanzisha sasa. Dodoma ujinga huo haupo. Aidha kuna wenye mabasi ambao pamoja na kupitisha mabasi kwenye stendi hizo na kulipa tozo za mji huaika, wamejenga vituo vyao vizuri tu katikati ya miji. Hayo majengo na shughuli hapo walipo haziifaidishi hiyo miji? Wanataka majengo hayo yatumikeje? Hili wazo ni sawa na lile wazo marehemu la Makonda la "car sales rooms" zote Dar kusitishwa ili wahame na kuanza upya Kigamboni ! bila kueleza hizo sales rooms zinazoachwa zitatumikaje na kama hazitumiki kwa amri yake kama atawafidia waliojenga kihalali? Ingefaa Serikali au CCM kama inapenda kuonekana ina viongozi itoe mwongozo wa ujumla na siyo majadiliano wakati athari za utaratibu huo unaotaka kujadiliwa na suluhu yake ni wazi.
Mh mkuu wa mkoa ni cpa holder aliwahi kuwa naibu wazir wa fezamakalla hata Elimi yake ni ya mashaka tu! mjinga mjinga anayefata upepo na kuroga sana.
alichokifanya ni KUPIGA DILI za Mabasi ya mwendokasi eti abiria washushwe wapande mwendokasi! mabasi 80 utegemee yahudumie watu elfu 70 kwa siku ni UPUMBAVU wa hali ya juu!
ufisadi hautaisha kwa kuchagua wahuni kama Makalla
Mambo ya usalama bado ni utopolo, maana njiani kuna vituo vya ukaguzi.BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM
Na OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa mabasi ili kuweka utaratibu mzuri ambao ni shirikishi wa utoaji huduma kwa wananchi kwenye kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli Dar es salaam.
Bashugwa ametoa maelekezo hayo leo Agosti, 30, 2022 wakati akitoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya utoaji wa huduma kwa wananchi wanaoingia Mkoa wa Dar es salaam kupitia kituo kikuu cha Mabasi cha Magufuli.
Bashungwa amesema amekuwa akifuatilia kwa Ukaribu Malalamiko yanayotolewa na wananchi Kuhusu huduma zinazotolewa katika stendi ya Magufuli kwa abiria wanaoingia na kutoka katika mkoa wa Dar es salaam ambayo yanatafisiri vibaya malengo ya Serikali ya Kutenga bilioni 50 kujenga stendi hiyo.
“Kuna abiria wanaoingia mkoa Dar es salaam na kushushwa katika stendi ya Magufuli lakini wanahitaji mabasi hayo yawafikishe mjini kwenye vituo vya mabasi vilivyojengwa na sekta binafsi, kwahiyo Mkuu wa Mkoa akikuta na wadau hao wataona namna nzuri ya kusimamia suala hilo” amesema Bashungwa.
Aidha, Bashungwa amemtaka Mkuu wa Mkoa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) pamoja na wadau wengine ili kukubaliana na kuweka utaratibu utakaorahisisha utoaji wa huduma bora bila kuleta adha kwa wananchi wala kuadhiri malengo ya Serikali kujenga stendi hiyo.
Amesema Serikali inaweza kutimiza maelengo na Kusudi la Uwepo wa Stendi ya Magufuli bila kuwapa adha wananchi wanaolazimika kushushwa katika stendi na kuingia Kwenye gharama za kutafuta usafiri mwingine wa kuwafikisha mjini wakati yapo mabasi yanaweza kupita katika stendi na yakaendelea na safari ya kuwafikisha abiria Mjini.
Pia, Amefafanua kuwa dhamira ya Serikali ni kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi na kuendelea kuimarisha usalama wa wananchi na Wageni wanaoingia nchini kwa kutumia usafiri wa magari kwa kuwatambua kupitia stendi hiyo ambayo kuna idara ya Uhamiaji na vyombo vingine vya usalama.
Kwa kuondoa changamoto ambazo zimekuwa zikilalamikiwa bila kuathili uwekezaji uliofanywa na sekta binafsi nchini.
Huu upumbavu uko mikoa yote ila kwa kuwa watu wa Dsm Wana sehemu ya kusemea ndio maana mnawajali Sana..BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM

Amesahau kuwa mikoani watu tunakuja na mikungu yetu ya ndizi na mwendo kasi sio Ma-bus ya mizigo, DRT yenyewe haina mabus ya ku accommodate abiria hata iweje!!!makalla hata Elimi yake ni ya mashaka tu! mjinga mjinga anayefata upepo na kuroga sana.
alichokifanya ni KUPIGA DILI za Mabasi ya mwendokasi eti abiria washushwe wapande mwendokasi! mabasi 80 utegemee yahudumie watu elfu 70 kwa siku ni UPUMBAVU wa hali ya juu!
CPA mjinga mjinga hivi yeye akishushwa hapo stend atafte daladala za chanika wakati basi husika linaenda huko huko yadi yao atajiskiajeMh mkuu wa mkoa ni cpa holder aliwahi kuwa naibu wazir wa feza
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app