Waziri Bashungwa atoa maagizo kuhusu malalamiko ya wananchi katika stendi ya Magufuli Dar Es Salaam

huyu Waziri ni hopeless, baala ya kutoa solution, anatoa makongamano ya sijui LALTRA , RC and the like! Unaona kabisa kuwa anakwepa lawama badala ya kutoa solution kuwa as long as basi limefika Stand, basi liende njia ambazo wamezipanga kama Mbagala, Gongolamboto etc kama njia ya ku win wateje. Then likianza safari linaanzia huko Mbagala Stand, then Moshi, Tanga etc. To me that is that much simple to handle!
 
Lile ni bomu in all aspewcts of uongozi na akili kichwani. Huyu ni stupid Chawa maana chawa wengine wana afadhali
 
Unyanyaswaji ndiyo matunda ya uhuru tulioutaka, mkoloni alikuwa mtu mwema.
 
Wajaribu wao wasipande yale madude.atoke mwanza afike saa saba za usiku ashushwe mbez halafu aone adha anayoipata mja wa mola.mambo haya yahitaji urumbimbi na ruwaza kuweza kuyapatia insafu na sio hondohondo mlez wa wana
 
Kama ndivyo, hiyo stendi ni ya nini sasa? Ukisikiliza malalamiko ya kila mtu huwezi kusonga mbele. Hilo likiruhusiwa naiona stendi ikigeuka kuwa white elephant.
kwani wewe nini kinakusumbua mtu akienda na basi mpaka mjini?
 
Mbona tozo wamezikalia kimya.

Inakuwaje sasa.
 
Ndio mana nilisema wajaribu na wao siku moja watumie mabas na sio hayo ma lexus.tatizo la sasa.zaman wafalme walikua wanajivika kiraia usiku wanaingia mitaan kuona namna gan raia wao wanaishi,enz za umarr aliyeweza kushinda mpaka dola za ulaya,alikuwa kajivika guo yeye na msaidiz wake wakawa wanatembea tembea mitaa ya madina usiku.kupita akakuta nyumba watoto wanacheza jikon kuna sufuria inachemka huku mama wa ile nyumba anaapiza kwa mungu eeh mungu huyu Umar huyu hajui adha tunazopata raia wake leo nachemsha mawe ku sufria kudanganyia watoto wajue kuna chakula,wachoke kusubir walale na njaa,Umar kasikia na msaidiz wake.akaondoka akaenda baitul mal(food bank) akachukua ngano,samli tende akatia m kiroba akajitwika,msaidiz wake anamwambia nipe nijitwike ya amiru l muuminen.wewe ni rais wa dola.Umar alikataa akajitwika akaenda kwa yule mama akampa vitu vile na yule mama alifurah akapikia watoto na akamuombea dua na akasema laiti Umar angekua ana roho kama yako bas umar akamwambia unamfaham Umar mwenyewe? Yule mama akasema hapana.sitak hata kumjua hana hurum na raia wake.bas umar akamwambia kesho uje mahal uchkue chakula cha kutosha.kufika kesho tahamak anamkuta yule aliyeleta chakula jana kumbe ndio umar mwenyewe na mama kusikitika sana.hiv ndio alikua anafanya umar kujivika viatu vya watu kujua yanayowasibu.ukiyajua hutaweza ku impose vitu ambavyo wewe mwenyewe hutaweza.
 
Hili hata mim nimeliona.urafik pale pamechangamka sana kwa zile ofis za mabas
 
Mh mkuu wa mkoa ni cpa holder aliwahi kuwa naibu wazir wa feza

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya usalama bado ni utopolo, maana njiani kuna vituo vya ukaguzi.
Pia kama stendi ina hitaji pesa waweke vituo vya kukusanya. Mfano pale Mwenge, wakusanye za mabasi yanayo pita Bagamoyo.
 
Amos Makala ni muhuni mwenye bahati ya kupata za uongozi either kwa kuroga sana au kujikomba sana lakini ni mtupu kama kama debe TUPU........

Utendaji wake duni wa kazi unazidi kumvua nguo....
 
Huu upumbavu uko mikoa yote ila kwa kuwa watu wa Dsm Wana sehemu ya kusemea ndio maana mnawajali Sana..

Mikoani ma stand yote yako nje ya Mji na mbali Sana ,watu Wana incur kwa extra costs kama hizo hizo za Dar lakini hakuna anaewajali.
 
Amesahau kuwa mikoani watu tunakuja na mikungu yetu ya ndizi na mwendo kasi sio Ma-bus ya mizigo, DRT yenyewe haina mabus ya ku accommodate abiria hata iweje!!!
 
“Kuna abiria wanaoingia mkoa Dar es salaam na kushushwa katika stendi ya Magufuli lakini wanahitaji mabasi hayo yawafikishe mjini kwenye vituo vya mabasi vilivyojengwa na sekta binafsi, kwahiyo Mkuu wa Mkoa akikuta na wadau hao wataona namna nzuri ya kusimamia suala hilo”

Hapa ndio kwenye shida kubwa sasa, sijuhi Tanzania tutajikwamua lini au kufikisha ukomo wa hizi drama za viongozi wetu!! Sasa walishindwa nini kukaa kwanza kabla ya kutoa tamko la utekelezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…