instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Uzio mpya wa shule wasichana ya Bukoba secondary unaojengwa kwa michango ya wahaya na wenyeji wa bukoba wanaoishi nje...Bas safii...[emoji122][emoji122]
Halafu unasema wahaya hawajengi kwao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzio mpya wa shule wasichana ya Bukoba secondary unaojengwa kwa michango ya wahaya na wenyeji wa bukoba wanaoishi nje...Bas safii...[emoji122][emoji122]
Unajuaje Kama waliifuta barabara wabongo kwa kulalamika hata bila ushaidiWaondoke tu kirahisi rahisiiii bila hata fidia?
Acheni uonevu hata kama ni ndani ya barabara bado mnapaswa kuwapa kianzio
Too lateBukoba kumekucha sasa...huku stendi, huku bandari inapanuliwa, airport inawekwa taa, udsm campus ya Bukoba....
Mdogo mdogo tutafika tu
Post no.1 😁😁😁😁😁Bukoba kumekucha sasa...huku stendi, huku bandari inapanuliwa, airport inawekwa taa, udsm campus ya Bukoba....
Mdogo mdogo tutafika tu
Wakwambie kwani huoni alama? Ndio wanakuacha Ili ukibomolewa upate akiliPale wakati tunajenga kwanini hawakusema?
Watapata Dual Carriage road kabla ya Mwanza 😂😂Project za Bukuba zikikamilika wahaya watatutesa. 😂😂😂😂 Saizi wasirogane wakaleta maneno tena
Hata mfike wapi dada zenu wataendelea kuliwa na kujiuzaBukoba kumekucha sasa...huku stendi, huku bandari inapanuliwa, airport inawekwa taa, udsm campus ya Bukoba....
Mdogo mdogo tutafika tu
Ila wale wnaojenga vituo Kati kati ya BarbaraUnajuaje Kama waliifuta barabara wabongo kwa kulalamika hata bila ushaidi
Sijajitetea, nadai angalau fidia kidogo, najua kutoka ni must , ila watupe chochote sio kutwambia tubomoe wenyewe, yaani wao hawataki hata hasara ya kubomoa?Umejitetea kijinga sana
Nyumba zilikuwepo hata kabla ya uhuru.Unajuaje Kama waliifuta barabara wabongo kwa kulalamika hata bila ushaidi
Kwan tunakimbia wap?..kuna sehemu unayoweza kuita imeendelea hapa TanzaniaToo late
Wameishajifunza...yalitokea 2012 sidhani kama yatajirudia...bukoba ilikuwa imefreeze kwa muda sasa...Project za Bukuba zikikamilika wahaya watatutesa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Saizi wasirogane wakaleta maneno tena
Kwan dada zenu ndo hawajiuzi?...Hata mfike wapi dada zenu wataendelea kuliwa na kujiuza
Kusoma tu ni changamoto....Duh bilion 4?mbwembwe nyiiingi,mradi wa mita 600
Haya nioneshe wewe palikoandikwa 21bKusoma tu ni changamoto....
Soma habari vzr...awamu ya kwanza ni km 1 ambayo ndo billion 4...
Mradi mzima ni km 5.1 jumla ya 21billion
Je una haki ya kisheria kuwepo katika hilo eneo?Sijajitetea, nadai angalau fidia kidogo, najua kutoka ni must , ila watupe chochote sio kutwambia tubomoe wenyewe, yaani wao hawataki hata hasara ya kubomoa?
2025 hatupigi kura, angalau watuoe ile michango ya majanga ya zamani