Kwan tunakimbia wap?..kuna sehemu unayoweza kuita imeendelea hapa Tanzania
Hii ndo stendi kuu ya daladala inayojengwa hapo bukoba mjini kati...
Nimependa viongozi wa Bukoba hawakurupuki kama viongozi wa manispaa nyingine walivyo...
Wanajenga stendi ya daladala mjini kati na mabasi nje kidogo ya mji...
Sio kama wale malaza wa kule morogoro waliojemga stendi ya daladala mbali na mji sijui wanamjemgea nani....
Ukiondoa mwemge Dar...hii ya Bukoba itakuwa ni moja ya stendi bora kabisa ya daladala tz hii
View attachment 2797290View attachment 2797291View attachment 2797292View attachment 2797293