Waziri Bashungwa awataka waliojenga Barabarani kubomoa nyumba zao kupisha upanuzi wa barabara

Waziri Bashungwa awataka waliojenga Barabarani kubomoa nyumba zao kupisha upanuzi wa barabara

Kwa hiyo tusijenge barabara yenye hadhi (double lanes) kwa sababu mmejenga vibanda vyenu. Kwanini mlijenga bila kuuliza?
Ukifuatilia point zangu tangu mwanzo wa mjadala utagundua kuwa sipingi kuondoka, bali napinga kuondolewa kavu kavu ndio maana nikahoji kwanini hawakutuzuia pale mwanzo?
Tumeishi hapo leo miaka kibao ndio tuondoke bila fidia? Japo kidogo?
 
Kule, naona hao ' usomi' haujaleta tija kabisa!
Hebu itaje hapa Tija gani unataka wew...wasomi wajenge barabara ya njia nne, stendi nk?
Kama ni tija ya maisha ya koo moja moja then Bukoba hainab mpinzani tz hii...
 
Kwan tunakimbia wap?..kuna sehemu unayoweza kuita imeendelea hapa Tanzania

Hii ndo stendi kuu ya daladala inayojengwa hapo bukoba mjini kati...

Nimependa viongozi wa Bukoba hawakurupuki kama viongozi wa manispaa nyingine walivyo...
Wanajenga stendi ya daladala mjini kati na mabasi nje kidogo ya mji...
Sio kama wale malaza wa kule morogoro waliojemga stendi ya daladala mbali na mji sijui wanamjemgea nani....
Ukiondoa mwemge Dar...hii ya Bukoba itakuwa ni moja ya stendi bora kabisa ya daladala tz hiiView attachment 2797290View attachment 2797291View attachment 2797292View attachment 2797293

Mkuu ujenzi umeshanza?
 
Back
Top Bottom