PreGE2025 Waziri Bashungwa: Namuagiza IGP Camilus Wambura kuhakikisha wanaomkashifu Rais mtandaoni 'wanashughulikiwa'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanachofanya kwa Sasa ni kufanya na kuchochea polisi wasipendwe na Wananchi,polisi wanastaafu na kurudi uraiani!Kama jamii itawachukia huko uraiani kutakuwaje?Hekima za wanasiasa zikatazamwe,hii no reforms no election ikatazamwe kuliko uvyama! Mungu atunusuru
 
Sasa bashungwa anajivunjia heshima. Na ameingia kwenye kundi la wapumbavu
 
Kijana mdogo kabisa, aliyelelewa na kukulia maisha ya tabu, wananchi wakamuelewa wakamchagua kuwa mbunge hatimaye akawa Waziri, leo amelewa madaraka.
Tuna viongozi wenye uwezo mdogo sana. Tukianza na hili gunia la mambo ya ndani
Amenishangaza mno huyu Inno, sikuwahi tegemea atakengeuka hivyo, khaaaah.
 
Kijana mdogo kabisa, aliyelelewa na kukulia maisha ya tabu, wananchi wakamuelewa wakamchagua kuwa mbunge hatimaye akawa Waziri, leo amelewa madaraka.
Tuna viongozi wenye uwezo mdogo sana. Tukianza na hili gunia la mambo ya ndani
Bishungwa hajui kuwa kuna maisha baada ya uwaziri yeye anajua atakuwa waziri katili milele
 
Nilihitaji kuona Kauli za Kijasiri kama hizi kutoka kwa Mheshimiwa Waziri na viongozi wengine mbalimbali. Mimi na watanzania wote tusikubali kuona Rais wetu akidhalilishwa na kutukanwa Hovyo. Tusimame imara kumtetea na kumsemea Rais wetu Mpendwa.
 
Naanza nacwewe Mhe Waziti Pimbavu mjinga mkubwa ! Shinzo type!

Mtume huyo IGP Wako mpumbavu na yeye Muuhaji!

Na Mhe Rais , she can only be in the Kitchen Taifa limemshinda.
 
Cyber bulingi ndio nini we muhaya πŸ˜…πŸ˜…. Nasie tutatumia elimu zetu za teknolojia tuwanyooshe πŸ˜‚.

Kazi nzuri zinajiuza hazilamishwi kuuzwa hahaha. Jifunze kuongea kwanza.
Bashungwa ni mnyambo sio muhaya
Wahaya wanapatikana Bukoba Mjini na vijijini Ila Karagwe anakotoka Bashungwa ni wanyambo
 
"Honourable Speaker, Tanzania is a poor economy country that does not deserve the honor of being debated in our Senate or National Assembly. It has vast resources, yet its leaders fail to use them for the people's benefit. We should not waste time responding to their parliamentarians' lack of wisdom. What else do MPs, whose main qualification is reading and writing, have to say besides insults?

Most Tanzanian MPs don’t understand the EAC treaty or its protocol. Instead of holding the government accountable, they serve its interests. When the CAG report exposes corruption, they defend the government and summon the CAG to explain himself. Do they really understand anything?

As long as people of Tanzania and Kenya get along well, thats enough. This community belongs to the people, not the leaders. Ignorant MPs are not worth our time. Perhaps our County Assemblies should respond to them instead."
____________

TAFSIRI ISIYO RASMI;

"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…