Waziri Biteko, yatie chachu Maharage ya Chande yachache haraka

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada.

Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.

Naamini wewe ni mmoja wa viongozi ambao hawajavimbiwa.

Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi.

Vunja bodi yote uanze upya.

Karibuni🙏
 
Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua,

Twende haraka kwenye mada,

Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, BADO Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.

Naamini wewe ni MMOJA wa viongozi ambao hawajavimbiwa.

Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi,

Vunja bodi yote uanzre UPYA.

Karibuni[emoji120]
Iv kwer kabisa unatarajia kushuka kwa bei ya umeme!!!! Kama mafuta ikifika mwisho wa mwez watu wanaanza kuficha ficha ili bei ipande wapandishe na hakuna kiongoz analiongea hilo hii inchi hii acha tuuu
 
Hakuna mwenye nafuu na akayetokea mwenye afadhali atapigwa zengwe
 
Iv kwer kabisa unatarajia kushuka kwa bei ya umeme!!!! Kama mafuta ikifika mwisho wa mwez watu wanaanza kuficha ficha ili bei ipande wapandishe na hakuna kiongoz analiongea hilo hii inchi hii acha tuuu
Tusikate tamaa,

Mungu alituweka juu ya ardhi hii Si Kwa Bahati mbaya.

Tuendelee kupaza sauti, UOVU usizidi kutamalaki juu ya nchi.
 
Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua,

Twende haraka kwenye mada,

Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, BADO Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.

Naamini wewe ni MMOJA wa viongozi ambao hawajavimbiwa.

Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi,

Vunja bodi yote uanzre UPYA.

Karibuni🙏
Watanzania mnapenda kudanganywa

Chande kwaambia ukweli… bwawa ni la mkopo lazima turudishe pesa

Dogo anachapa kazi sana

Acheni majungu
 
Kama swali Rahisi unashindwa kujibu,

Maswali magumu utayaweza?
Huwezi elewa

Siwezi kukujibu Uko shallow

Sasa mtu Kama hujui hata Maana ya financing ya strategic project na namna ya kulipia hiyo miradi utaweza kupokea majibu yangu?
 
Huyu maharage alitukera sana wtz kusema si busara kushusha bei ya umeme hata kama mradi wa JNHEP wenye mg2215 kukamilika.kama hawataki kushusha bei ya umeme sasa huo mradi utakuwa na faida gani?.shusha bei ili wateja wawe wengi na uzalishaji viwandani uwe nafuu na kupelekea unafuu wa maisha kwa mtu mmojammoja
 
Hata Mimi sitakijibu, subiri ujibiwe na wenye Nchi.
 
Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua,

Twende haraka kwenye mada,

Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, BADO Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.

Naamini wewe ni MMOJA wa viongozi ambao hawajavimbiwa.

Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi,

Vunja bodi yote uanzre UPYA.

Karibuni🙏
Awafukuze Kwa Ajili gani hasa?Sio mtu wa visasi kama bwana yule
 
Huyu maharage alitukera sana wtz kusema si busara kushusha bei ya umeme hata kama mradi wa JNHEP wenye mg2215 kukamilika.kama hawataki kushusha bei ya umeme sasa huo mradi utakuwa na faida gani?.shusha bei ili wateja wawe wengi na uzalishaji viwandani uwe nafuu na kupelekea unafuu wa maisha kwa mtu mmojammoja
Naunga mkono HOJA,

Kushusha Bei kutaongeza wateja,

Wateja wakiongezeka gharama zitapungua, faida itaongezeka.

Na mkopo utalipika kirahisi bila maumivu makubwa.
 
Hakuna bodi inateuliwa bila Rais kukubali
Na Rais hawezi kubali bila kuletewa mapendekezo mezani.

Sisi tunamrahisishia Biteko, aseme wananchi wanasema
 
Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada.

Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.

Naamini wewe ni mmoja wa viongozi ambao hawajavimbiwa.

Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi.

Vunja bodi yote uanze upya.

Karibuni🙏
Huenda ikawa la kuvunda halina ubani
 
Back
Top Bottom