- Thread starter
- #21
Kuwatimua vilaza ofisi za umma,kamwe haiwezi kutafsirika kama kulipa kisasi.Awafukuze Kwa Ajili gani hasa?Sio mtu wa visasi kama bwana yule
Asipowawahi watamfix!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwatimua vilaza ofisi za umma,kamwe haiwezi kutafsirika kama kulipa kisasi.Awafukuze Kwa Ajili gani hasa?Sio mtu wa visasi kama bwana yule
Bei ya umeme itashuka tu wakati uzalishaji ushaanza.Huwezi elewa
Siwezi kukujibu Uko shallow
Sasa mtu Kama hujui hata Maana ya financing ya strategic project na namna ya kulipia hiyo miradi utaweza kupokea majibu yangu?
Vilaza ni wepi hao? Na unapima vipi ukilaza wao?Kuwatimua vilaza ofisi za umma,kamwe haiwezi kutafsirika kama kulipa kisasi.
Asipowawahi watamfix!!
Avunje bodi ambayo mwenyekiti wake ni Omary Issa? Omary Issa ni inner circle/cycle ya mama. Wajumbe ni Nehemia Mchechu! Bodi nzito ile.Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada.
Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.
Naamini wewe ni mmoja wa viongozi ambao hawajavimbiwa.
Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi.
Vunja bodi yote uanze upya.
Karibuni🙏
Na ndio Nia Hasa ya ujenzi wa Bwawa Hilo.Bei ya umeme itashuka tu wakati uzalishaji ushaanza.
Lazima local production costs zipungue ili Nchi iweze kupambana na bei za products ziwe competitive.
Na mkopo italipwa kutokana na umeme mwingi kutumika kwenye production.
It's just a matter of Common Sense.
Na imefanya kazi, umeme migodini, grid imefika Kigoma etc. Wateja wapya laki tano FOR the first time etcAvunje bodi ambayo mwenyekiti wake ni Omary Issa? Omary Issa ni inner circle/cycle ya mama. Wajumbe ni Nehemia Mchechu! Bodi nzito ile.
Kwahiyo afanye nn sasa,Avunje bodi ambayo mwenyekiti wake ni Omary Issa? Omary Issa ni inner circle/cycle ya mama. Wajumbe ni Nehemia Mchechu! Bodi nzito ile.
Kutamka kuwa hata baada ya kukamilika ujenzi wa Bwawa la mwl Nyerere Bei hazitashuka, ni ukilaza wa Hali ya juu,Vilaza ni wepi hao? Na unapima vipi ukilaza wao?
So what?Na imefanya kazi, umeme migodini, grid imefika Kigoma etc. Wateja wapya laki tano FOR the first time etc
Kwani bwawa kukamilika ndio Kuna shusha bei? Soko ndio linaamua strategy za biashara.Kutamka kuwa hata baada ya kukamilika ujenzi wa Bwawa la mwl Nyerere Bei hazitashuka, ni ukilaza wa Hali ya juu,
Wewe hullioni Hilo, au nawe umerambishwa?
So nice ,wewe unatakaje?So what?
Kwahiyo kupata matokeo chanya sio kipimo cha utendaji wa Maharage?So what?
Umeziona nguzo za zege walizoleta?Kwahiyo kupata matokeo chanya sio kipimo cha utendaji wa Maharage?
Mimi na Watanzania wenzangu tunataka nafuu, Kodi zetu zirudi kutunufaisha.So nice ,wewe unatakaje?
Ndio nasema,Kwani bwawa kukamilika ndio Kuna shusha bei? Soko ndio linaamua strategy za biashara.
Bei kamwe haitashuka Kwa sababu tatizo sio kukosa umeme Bali gharama za uendeshaji wa Shirika.
Asimamie ya kwake na siyo kuendeleza trial and error.Kwahiyo afanye nn sasa,
Ainajisi Imani yake kiduchu aloiweka Kwa wananchi?
Nimeziona. Kwahivyo utendaji wa Maharage Tanesco despite making the company profitable, vastly improving customer care, in short modernizing Tanesco to become corporate in a sense of can compete in the world unaishia kuwa judged na nguzo moja.Umeziona nguzo za zege walizoleta?
Alaa!!Nimeziona. Kwahivyo utendaji wa Maharage Tanesco despite making the company profitable, vastly improving customer care, in short modernizing Tanesco to become corporate in a sense of can compete in the world unaishia kuwa judged na nguzo moja.
Halafu nguzo za zege ni zama za jiwe kumbuka ndio vile viwanda Bagamoyo vilianzishwa.