Waziri Biteko, yatie chachu Maharage ya Chande yachache haraka

Waziri Biteko, yatie chachu Maharage ya Chande yachache haraka

Ndio nasema,

Kwa kuwa Nia ya Ujenzi wa Bwawa la umeme Nia ilikuwa ni kupunguza gharama za uzalishaji umeme Ili kumnufaisha mtanzania,

Tunamshauri Waziri Biteko ayatie chachu Maharage Ili aje na viongozi wa bodi wengine wataoendana na VISION hiyo.
Aliyewadanganya kafa
 
Kwani saizi zinamnufaisha nani? Aliyekudanganya kwamba Kodi Yako inatosha ni nani?
Kodi yangu inatosha, ila matumizi ya Kodi nitoayo ndo mtihani!!

Mm natembea wa mguu nikipekua, Kodi nitoayo ikamnunulie Maharage V8,

Uliona wapi!!!
 
Petrol imekuwa adimu mtaani,

Tafadhali🙏
 
Kwani bwawa kukamilika ndio Kuna shusha bei? Soko ndio linaamua strategy za biashara.

Bei kamwe haitashuka Kwa sababu tatizo sio kukosa umeme Bali gharama za uendeshaji wa Shirika.
Kwani hawezi kuja na mpango wa kupunguza gharama za uendeshaji? Wanataka watubakishe kwenye bei hii wakijumuisha na mamikataba yao ya usd milioni 30 ya mfumo wa ununuzi na maboresho ya njia za umeme ya 1tr ili waseme yote ni gharama za JNHPP.
 
Nimeziona. Kwahivyo utendaji wa Maharage Tanesco despite making the company profitable, vastly improving customer care, in short modernizing Tanesco to become corporate in a sense of can compete in the world unaishia kuwa judged na nguzo moja.

Halafu nguzo za zege ni zama za jiwe kumbuka ndio vile viwanda Bagamoyo vilianzishwa.
Viwanda kuanzishwa wakati wa jpm haina maana kwamba sasa hivi wazalishe chini ya kiwango. Taratibu miaka ikienda mnaanza kukosa visingizio vya "ilikuwa wakati wa jiwe" ngoja tuone CAG akitoa ripoti ya 2022/2023. Sasa sijui mtasingizia jiwe yupi. Au ndo mtapika data
 
Bodi yote isipivunjwa, hakuna kitu Cha maana Biteko atafanya.
 
Kwani hawezi kuja na mpango wa kupunguza gharama za uendeshaji? Wanataka watubakishe kwenye bei hii wakijumuisha na mamikataba yao ya usd milioni 30 ya mfumo wa ununuzi na maboresho ya njia za umeme ya 1tr ili waseme yote ni gharama za JNHPP.
Ngoja tusubirie tuone
 
Muda uko upande wako Bado kuanza vizuri.
 
Biteko usikubali kuziba nyufa za Bwawa,

Shauri uchunguzi ufanyike, la sivyo nawe utakuwa wale wale.
 
Maharage ya Chande yametoa povu juu tayari kama Ishara ya kuchacha😳
 
Kuna msemo unaosema KILA MTI MZURI WENYE MATUNDA NDIO UTUPIWA MAWE
 
Back
Top Bottom