Waziri Biteko, yatie chachu Maharage ya Chande yachache haraka

Hatimaye Maharage yamechacha.

Lakini Cha kusikitisha, uvundo huo umehamishiwa TTCL, mnapenda kutusemesha!!
 
Hatimaye masikio ya samia yamezibuka😁😁😁😁

WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari na maharage na bodi mpya kuteuliwa wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani

Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi

Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya

Rais apunguze kuziba masikio 😕
 
Nimefurahi pia kusikia Ule uvundo wa Maharage ulopelekwa TTCL ukipelekwa Posta master.

Angetuharibia shirika letu mama wa mawasiliano lenye kumiliki mkongo wa Taifa.
 
Maharagwe yamechacha.
 
Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada.

Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.

Naamini wewe ni mmoja wa viongozi ambao hawajavimbiwa.

Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi.

Vunja bodi yote uanze upya.

Karibuni🙏
Dahhj
 
Nimefurahi pia kusikia Ule uvundo wa Maharage ulopelekwa TTCL ukipelekwa Posta master.

Angetuharibia shirika letu mama wa mawasiliano lenye kumiliki mkongo wa Taifa.

Tatizo la watu wengi hapa hatumjui Mr Maharage Bali vichwani mwetu tumejaza Maharage ya Mbeya, Subirini Subirini Subirini
 
Back
Top Bottom