Iv kwer kabisa unatarajia kushuka kwa bei ya umeme!!!! Kama mafuta ikifika mwisho wa mwez watu wanaanza kuficha ficha ili bei ipande wapandishe na hakuna kiongoz analiongea hilo hii inchi hii acha tuuuSalaam, hongera Kwa Uchapakazi murua,
Twende haraka kwenye mada,
Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, BADO Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.
Naamini wewe ni MMOJA wa viongozi ambao hawajavimbiwa.
Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi,
Vunja bodi yote uanzre UPYA.
Karibuni[emoji120]
Hakuna mwenye nafuu na akayetokea mwenye afadhali atapigwa zengweSalaam, hongera Kwa Uchapakazi murua,
Twende haraka kwenye mada,
Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, BADO Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.
Naamini wewe ni MMOJA wa viongozi ambao hawajavimbiwa.
Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi,
Vunja bodi yote uanzre UPYA.
Karibuni[emoji120]
Tusikate tamaa,Iv kwer kabisa unatarajia kushuka kwa bei ya umeme!!!! Kama mafuta ikifika mwisho wa mwez watu wanaanza kuficha ficha ili bei ipande wapandishe na hakuna kiongoz analiongea hilo hii inchi hii acha tuuu
Sasa kuwekwa kwenye position na usiwe na maamuzi Bora kujiuzulu tu kama alivyowahi kutaka kufanya Magu 004.Hakuna mwenye nafuu na akayetokea mwenye afadhali atapigwa zengwe
Watanzania mnapenda kudanganywaSalaam, hongera Kwa Uchapakazi murua,
Twende haraka kwenye mada,
Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, BADO Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.
Naamini wewe ni MMOJA wa viongozi ambao hawajavimbiwa.
Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi,
Vunja bodi yote uanzre UPYA.
Karibuniš
Kwahiyo kama ni la mkopo ndo wateja wa Tanesco pekee walipie mkopo?Watanzania mnapenda kudanganywa
Chande kwaambia ukweli⦠bwawa ni la mkopo lazima turudishe pesa
Dogo anachapa kazi sana
Acheni majungu
Uko shallowKwahiyo kama ni la mkopo ndo wateja wa Tanesco pekee walipie mkopo?
Kama swali Rahisi unashindwa kujibu,Uko shallow
Huwezi elewaKama swali Rahisi unashindwa kujibu,
Maswali magumu utayaweza?
Huwezi elewaKama swali Rahisi unashindwa kujibu,
Maswali magumu utayaweza?
Hata Mimi sitakijibu, subiri ujibiwe na wenye Nchi.Huwezi elewa
Siwezi kukujibu Uko shallow
Sasa mtu Kama hujui hata Maana ya financing ya strategic project na namna ya kulipia hiyo miradi utaweza kupokea majibu yangu?
Awafukuze Kwa Ajili gani hasa?Sio mtu wa visasi kama bwana yuleSalaam, hongera Kwa Uchapakazi murua,
Twende haraka kwenye mada,
Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, BADO Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.
Naamini wewe ni MMOJA wa viongozi ambao hawajavimbiwa.
Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi,
Vunja bodi yote uanzre UPYA.
Karibuniš
Naunga mkono HOJA,Huyu maharage alitukera sana wtz kusema si busara kushusha bei ya umeme hata kama mradi wa JNHEP wenye mg2215 kukamilika.kama hawataki kushusha bei ya umeme sasa huo mradi utakuwa na faida gani?.shusha bei ili wateja wawe wengi na uzalishaji viwandani uwe nafuu na kupelekea unafuu wa maisha kwa mtu mmojammoja
Na Rais hawezi kubali bila kuletewa mapendekezo mezani.Hakuna bodi inateuliwa bila Rais kukubali
Huenda ikawa la kuvunda halina ubaniSalaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada.
Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.
Naamini wewe ni mmoja wa viongozi ambao hawajavimbiwa.
Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera wananchi.
Vunja bodi yote uanze upya.
Karibuniš
Brother unaelewa maana ya karamu? Ni nani hukataa kwenda karamuni?Sasa kuwekwa kwenye position na usiwe na maamuzi Bora kujiuzulu tu kama alivyowahi kutaka kufanya Magu 004.
Loh, Mbona karamuni!!!Brother unaelewa maana ya karamu? Ni nani hukataa kwenda karamuni?