Waziri Biteko, yatie chachu Maharage ya Chande yachache haraka

Huwezi elewa

Siwezi kukujibu Uko shallow

Sasa mtu Kama hujui hata Maana ya financing ya strategic project na namna ya kulipia hiyo miradi utaweza kupokea majibu yangu?
Bei ya umeme itashuka tu wakati uzalishaji ushaanza.

Lazima local production costs zipungue ili Nchi iweze kupambana na bei za products ziwe competitive.

Na mkopo italipwa kutokana na umeme mwingi kutumika kwenye production.

It's just a matter of Common Sense.
 
Avunje bodi ambayo mwenyekiti wake ni Omary Issa? Omary Issa ni inner circle/cycle ya mama. Wajumbe ni Nehemia Mchechu! Bodi nzito ile.
 
Na ndio Nia Hasa ya ujenzi wa Bwawa Hilo.

Sasa kama mkurugenzi Hana maono hayo,

Kuendelea naye safarini ni kupoteza muda.
 
Avunje bodi ambayo mwenyekiti wake ni Omary Issa? Omary Issa ni inner circle/cycle ya mama. Wajumbe ni Nehemia Mchechu! Bodi nzito ile.
Na imefanya kazi, umeme migodini, grid imefika Kigoma etc. Wateja wapya laki tano FOR the first time etc
 
Avunje bodi ambayo mwenyekiti wake ni Omary Issa? Omary Issa ni inner circle/cycle ya mama. Wajumbe ni Nehemia Mchechu! Bodi nzito ile.
Kwahiyo afanye nn sasa,

Ainajisi Imani yake kiduchu aloiweka Kwa wananchi?
 
Vilaza ni wepi hao? Na unapima vipi ukilaza wao?
Kutamka kuwa hata baada ya kukamilika ujenzi wa Bwawa la mwl Nyerere Bei hazitashuka, ni ukilaza wa Hali ya juu,

Wewe hullioni Hilo, au nawe umerambishwa?
 
Kutamka kuwa hata baada ya kukamilika ujenzi wa Bwawa la mwl Nyerere Bei hazitashuka, ni ukilaza wa Hali ya juu,

Wewe hullioni Hilo, au nawe umerambishwa?
Kwani bwawa kukamilika ndio Kuna shusha bei? Soko ndio linaamua strategy za biashara.

Bei kamwe haitashuka Kwa sababu tatizo sio kukosa umeme Bali gharama za uendeshaji wa Shirika.
 
Kwani bwawa kukamilika ndio Kuna shusha bei? Soko ndio linaamua strategy za biashara.

Bei kamwe haitashuka Kwa sababu tatizo sio kukosa umeme Bali gharama za uendeshaji wa Shirika.
Ndio nasema,

Kwa kuwa Nia ya Ujenzi wa Bwawa la umeme Nia ilikuwa ni kupunguza gharama za uzalishaji umeme Ili kumnufaisha mtanzania,

Tunamshauri Waziri Biteko ayatie chachu Maharage Ili aje na viongozi wa bodi wengine wataoendana na VISION hiyo.
 
Umeziona nguzo za zege walizoleta?
Nimeziona. Kwahivyo utendaji wa Maharage Tanesco despite making the company profitable, vastly improving customer care, in short modernizing Tanesco to become corporate in a sense of can compete in the world unaishia kuwa judged na nguzo moja.

Halafu nguzo za zege ni zama za jiwe kumbuka ndio vile viwanda Bagamoyo vilianzishwa.
 
Alaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…