ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Aliyewadanganya kafaNdio nasema,
Kwa kuwa Nia ya Ujenzi wa Bwawa la umeme Nia ilikuwa ni kupunguza gharama za uzalishaji umeme Ili kumnufaisha mtanzania,
Tunamshauri Waziri Biteko ayatie chachu Maharage Ili aje na viongozi wa bodi wengine wataoendana na VISION hiyo.
Kwani saizi zinamnufaisha nani? Aliyekudanganya kwamba Kodi Yako inatosha ni nani?Mimi na Watanzania wenzangu tunataka nafuu, Kodi zetu zirudi kutunufaisha.
Kwani nawe ni Mtanzania?
Hivi unakumbuka ulivyokuwa ukijiapiza kuwa kipara haondoki pale Nishati?Aliyewadanganya kafa
Kodi yangu inatosha, ila matumizi ya Kodi nitoayo ndo mtihani!!Kwani saizi zinamnufaisha nani? Aliyekudanganya kwamba Kodi Yako inatosha ni nani?
Kwani hawezi kuja na mpango wa kupunguza gharama za uendeshaji? Wanataka watubakishe kwenye bei hii wakijumuisha na mamikataba yao ya usd milioni 30 ya mfumo wa ununuzi na maboresho ya njia za umeme ya 1tr ili waseme yote ni gharama za JNHPP.Kwani bwawa kukamilika ndio Kuna shusha bei? Soko ndio linaamua strategy za biashara.
Bei kamwe haitashuka Kwa sababu tatizo sio kukosa umeme Bali gharama za uendeshaji wa Shirika.
Nguzo za deal za watu wa kundi letu wakishirikiana na Derm. Chama kimerudi kwa wenyeweUmeziona nguzo za zege walizoleta?
Viwanda kuanzishwa wakati wa jpm haina maana kwamba sasa hivi wazalishe chini ya kiwango. Taratibu miaka ikienda mnaanza kukosa visingizio vya "ilikuwa wakati wa jiwe" ngoja tuone CAG akitoa ripoti ya 2022/2023. Sasa sijui mtasingizia jiwe yupi. Au ndo mtapika dataNimeziona. Kwahivyo utendaji wa Maharage Tanesco despite making the company profitable, vastly improving customer care, in short modernizing Tanesco to become corporate in a sense of can compete in the world unaishia kuwa judged na nguzo moja.
Halafu nguzo za zege ni zama za jiwe kumbuka ndio vile viwanda Bagamoyo vilianzishwa.
Bodi yote isipivunjwa, hakuna kitu Cha maana Biteko atafanya.Viwanda kuanzishwa wakati wa jpm haina maana kwamba sasa hivi wazalishe chini ya kiwango. Taratibu miaka ikienda mnaanza kukosa visingizio vya "ilikuwa wakati wa jiwe" ngoja tuone CAG akitoa ripoti ya 2022/2023. Sasa sijui mtasingizia jiwe yupi. Au ndo mtapika data
Ngoja tusubirie tuoneKwani hawezi kuja na mpango wa kupunguza gharama za uendeshaji? Wanataka watubakishe kwenye bei hii wakijumuisha na mamikataba yao ya usd milioni 30 ya mfumo wa ununuzi na maboresho ya njia za umeme ya 1tr ili waseme yote ni gharama za JNHPP.
Usisahau hata mti wenye nyoka hatari, mawe huhusika pia!!Kuna msemo unaosema KILA MTI MZURI WENYE MATUNDA NDIO UTUPIWA MAWE
Huu nao ni msemo?Usisahau hata mti wenye nyoka hatari, mawe huhusika pia!!
Ndio.Huu nao ni msemo?