TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

km kweli ni pigo kubwa kwetu wanaulanga hakika mungu atakuwa ametunyang'anya mama mpambanaji. RIP OUR MP

Tunasikitika amefariki lakini hakuwa mpambanaji kwa ajili ya wana Ulanga, bali kwa ajili ya familia yake na ndugu zake.
 
R. I. P mama Celina Kombani.
 
R. I. P mama yetu celina Kombani.
 
Mungu amlaze mahali pema peponi mungu amemchukua mapema kabla hajamuona rais lowasa akiapishwa uwanja wa taifa
 
RIP mama, poleni sana familia ya marehemu.Mungu awape moyo wa uvumilivu kipindi hiki mnachoputia.
 
Rip mama celina kombani. Alikuwa mkweli kabisa. Alituambia katiba mpya haiwezekani. Akiwa waziri wa sheria. Lakini tukaruhusu raisi atudanganye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…