Mkuu anaegombea Kibamba ni Mukandara,huyu kama ni yule waziri basi ni wa mahenge.kombani mgombea wa ubunge Kibamba?
Mama yake Celina Kombani au Celina Kombani huyuhuyu waziri?
Mleta mada toa details basi za kifo hicho ili watu waelewe kabla ya watu kuanza kutoa pole tu za R.I.P bila kujua kwa undani ya mauti yenyewe imemkutaje, wapi na kivipi