Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao unaowaita walalahoi si ndo hao hao wanajazana mpaka kufia kwenye mikutano ya ccm wakishangilia upuuzi wa ccm? HAWASITAHILI KUPATA HUDUMA BORA ZA AFYA WALA ELIMU BORA.Sasa kama hawa ma CCM hawataki kujenga hospitali nzuri hapa Tanzania na wanakwenda kutibiwa nje sio ndio kusema hawajali maisha yetu na wanatuona sisi kama wanyama umeenda pale Mwananyamala au Muhimbili watu wanavyokufa kwa kukosa dawa za msingi??Hela alizotumia marehumu zingeokoa maisha mangapi ya walala hoi??? Au maisha ya walala hoi hayana thamani kama hao "wateule"!!!Mbona wanatuambia kuwa CCM inaamini kuwa watu wote ni sawa sasa huu usawa uko wapi wakati viongozi wakatibiwe nje na sisi wengine tutibiwe hapa Mwananyamala??!! Inasikitisha jamani
Celina Kombani alikuwa mgombea wa CCM, na kwa mujibu wa makada wa CCM hapa jamvini, na wale walioko field, wanasema Watanzania hawapaswi kumchagua LOWASSA kwa sababu LOWASSA ni "mgonjwa"{kwa mujibu wao}, Lakini hawakuwahi kuwaambia wana ULANGA, wasimchague Marehemu Kombani kwa sababu ni mgonjwa na amelazwa INDIA! Mungu sio mjinga kama nyie akina Boko haram huu ni mfano tu amewapa! Msipoweza kujifunza hapa! Hamtajifunza tena!Hata Mtoi alifariki kabla ya mamvi