TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..

Celina.jpg

Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.

She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.

Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na sote tutarejea kwake, pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki na wote walioguswa na msiba huu, Mungu awape moyo wa subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Mwenyeezi Mungu amsamehe na yote aliyotanguliza, nasi atujaalie mwisho mwema.
 
Huyo hata hakuna haja ya kuuliza mara mbili....

Nasikitika ameondoka bila kujua mwamko wa watanzania, anyway simpangii Mungu mahala pa kuiweka roho ya marehemu Celina, maana sina mamlaka hayo kisheria!
 
Source : ITV Taarifa ya habari ya saa mbili usiku leo. Poleni sana wafiwa, jimbo lake la uchaguzi Ulanga Mashariki.
 
Pole kwa familia na wananchi wa Ulanga Mashariki. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi
Amina!
 
R.I.P mama kombani.

Umeondoka kabla ya kuona chadema ikiingia ikulu
 
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..

Celina.jpg

Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.

She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.

tunamuombea apumzike kwa amani
 
unaweza kupigwa na bumbuwazi ukiambiwa na yeye alikuwa anamnanga LOWASSA kuwa ni mginjwa
 
Hata Mimi nimesikia taarifa hiyo kwenye TV japo nilikuwa napita sikuweza kufuatillia Chanel gani. mama Kombani amefariki KWA mujibu WA taarifa ya habari Leo usiku.
 
Back
Top Bottom