Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..
![]()
Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.
She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.
Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na sote tutarejea kwake, pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki na wote walioguswa na msiba huu, Mungu awape moyo wa subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Mwenyeezi Mungu amsamehe na yote aliyotanguliza, nasi atujaalie mwisho mwema.