TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Je ni wagonjwa wangapi walikua india na wakaipigia kura katiba ya magamba?
 
Wajifunze sasa kunanga wengine na hakuna anayeshindana na mwenyezi mungu
 
Ccm acheni mara moja kumtabiria mtu ugonjwa ninyi siyo mungu . Mungu ameamua kudhihirisha kua hakuna ajue siku wala saa . Kuna tetesi nimezipata toka kwa filauni kuna mwinginie anafuata huko huko ccm.
Acha waendelee kumsemea El kuwa ni mgonjwa ila wajue wao huko kuna wagonjwa zaidi tena wenye afya mgogoro.
Kingine Waache kukimbilia india wangekuwa na akili wangeboresha hospital nchini watibiwe humu humu...huko wanafata kifo tu
 
Nimepokea kwa masikitiko sana kifo cha Mh Celine Kombani aliyekuwa pia mgombea ubunge. Kifupi sikutegemea kuwa kuna mwanaccm atakufa kabla ya Lowasa maana wamekuwa wakipita majukwaani na kumtangaza Lowasa kuwa ni mgonjwa sana kana kwamba ndiye mgonjwa namba moja nchini kumbe mawaziri na wabunge watarajiwa kupitia ccm wapo india na hawatuambii. Wakati mkipita kusema Mh Lowasa mgonjwa mbona hamkupita kutwambia kuwa Mh Celine Kombani naye ni mgonjwa tusimpe ubunge au mlitaka tumchague hivyohivyo? CCM jifunzeni kuna wagonjwa wengi ccm japo hawatetemiki!

Kila kitu sasa mnageuza siasa hata kifo...! Kufilisika sera kubaya sana....
 
Rip mama Celina Kombani,naomba ukifika huko kwa Mwenyezi Mungu mwingi rehma akupokee pia tupelekee ujumbe wetu waTanzania kwa baba wa taifa Mwl Nyerere kwamba mwaka huu tunafanya mabadiliko ya kuitoa ccm madarakani.
 
Je ni wagonjwa wangapi walikua india na wakaipigia kura katiba ya magamba?

Kwa kweli si wanasiasa tuu ata sisi uku uraiani tuache masihara ya mambo hayo(ya kutukanana katika habari ya ugonjwa). Masihara na kebehi ni machukizo kwa Muumba wetu hajuae afya zetu.pole kwa familia ya kombani
 
Kwani waziri wa fweza uliambiwa.

Naitakia faraja familia ya kombani katika wakati huu mgumu wa majonzi
 
Mussa allan au msalani,wakati umeenda wpi leo wewe na mimi ni mashabk wa mabadiliko kuptia lowasa.
 
Marehemu MOHAMED MTOI na CELINA KOMBANI ni fundisho kwa ccm na wale wote wenye dhihaka na Afya za binadamu duniani.
Mungu awalaze wagombea hawa wa uchaguzi wa mwaka huu mahali pema peponi,Amen.
 
Kila kitu sasa mnageuza siasa hata kifo...! Kufilisika sera kubaya sana....

wacha Habari zako wewe!!!siasa za namna hii zilianzishwa na ccm, na mleta mada ametoa mada yake kama angalizo kwa ccm hakuwa na kusudio kama unavyo taka kuliweka wewe. RIP MAMA KOMBANI
 
Back
Top Bottom