Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha waendelee kumsemea El kuwa ni mgonjwa ila wajue wao huko kuna wagonjwa zaidi tena wenye afya mgogoro.Ccm acheni mara moja kumtabiria mtu ugonjwa ninyi siyo mungu . Mungu ameamua kudhihirisha kua hakuna ajue siku wala saa . Kuna tetesi nimezipata toka kwa filauni kuna mwinginie anafuata huko huko ccm.
Nimepokea kwa masikitiko sana kifo cha Mh Celine Kombani aliyekuwa pia mgombea ubunge. Kifupi sikutegemea kuwa kuna mwanaccm atakufa kabla ya Lowasa maana wamekuwa wakipita majukwaani na kumtangaza Lowasa kuwa ni mgonjwa sana kana kwamba ndiye mgonjwa namba moja nchini kumbe mawaziri na wabunge watarajiwa kupitia ccm wapo india na hawatuambii. Wakati mkipita kusema Mh Lowasa mgonjwa mbona hamkupita kutwambia kuwa Mh Celine Kombani naye ni mgonjwa tusimpe ubunge au mlitaka tumchague hivyohivyo? CCM jifunzeni kuna wagonjwa wengi ccm japo hawatetemiki!
Je ni wagonjwa wangapi walikua india na wakaipigia kura katiba ya magamba?
Kila kitu sasa mnageuza siasa hata kifo...! Kufilisika sera kubaya sana....
Kila kitu sasa mnageuza siasa hata kifo...! Kufilisika sera kubaya sana....
huyu wa kibamba ni nani?