mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
.. MUSSA ALLAN mm huyu mama hata simsikiti kwa kauli aliyoitoaga kwa lowasa
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina cha maji hakipimwi kwa miguu yote mi2!!RIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.
na Burian mama kombani,mbona siamini?Duh..... poleni sana wanandugu na jamaa wa karibu na Marehemu.Mungu amlaze mahali pema.
si matibabu Mwan'nyamala?Ni dakika chache zilizopita, amefariki akiwa kwenye matibabu India.
Marehemu alizaliwa mwaka mwaka 19, Juni, 1959
Sawa, sasa si vizuri kuongealea au kumnyoshea mtu kuhusu ugonjwa, Uhai wetu uko mikononi mwa bwana wetu yesu mwokozi wetu, habari ya kusema huyo mgonjwa wakati wewe mwenyewe hujui lini na wakati gani mungu ataihita roho yako. Tulia nyamaza kimwa anayejua habari za uhai wetu ziko kwa Mungu wetu.RIP Mama.Ingawa sisi tukiumwa India yetu ni Muhimbili tu.
Mnaponyoshea kidole ugonjwa wa Lowassa mnadhani uhai wake uko mikononi mwa CCM?Sawa, sasa si vizuri kuongealea au kumnyoshea mtu kuhusu ugonjwa, Uhai wetu uko mikononi mwa bwana wetu yesu mwokozi wetu, habari ya kusema huyo mgonjwa wakati wewe mwenyewe hujui lini na wakati gani mungu ataihita roho yako. Tulia nyamaza kimwa anayejua habari za uhai wetu ziko kwa Mungu wetu.
Watanzania akili zetu zimeingiliwa na kitu gani lakini? Hapa tumeletewa tanzia ya kifo ya Mtanzania mwenzetu,badala ya kuhungana na kumuombea apumzike kwa amani peponi, sisi tunatanguliza masuala ya itikadi za vyama na kejeli juu, tunajisahau kabisa kuwa kila nafsi itaonja muhuti!! Huku kama sio kuchanganyikiwa ni nini?
si matibabu Mwan'nyamala?
hivi ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa Bunge sometimes back?sijawahi kumsikia akitukana lakini
Wengine wanauwawa watu wanapanda vyeo alafu hapa tunasema R.I.P!
Mnakejeli mnaowaona wagonjwa,mnasikitia marehemu!
Huu unafiki kwa mungu haupo.
Ukiona mtu anachekelea kifo jua ana tatizo kubwa.
RIP mama kombani. Nimekusamehe kosa lako la kuchakachua katiba ya wananchi ili MUNGU aweze kukulaza mahala pema peponi. Amen
Pumzika kwa aman mama komban,siasa sio uadui zisitufanye tupoteze utu wetu. Kama watanzania tujifunze uvumilivu wa kisiasa licha ya tofaut zetu za kisiasa.
...mzee wangu..majuzi kafa yule kijana wa chadema Mtoi wala hukutoa pole humu....matendo yako yanazidi kutufanya tukujue....RIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..
![]()
Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.
She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.