TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

.. MUSSA ALLAN mm huyu mama hata simsikiti kwa kauli aliyoitoaga kwa lowasa
 
Last edited by a moderator:
RIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.
Kina cha maji hakipimwi kwa miguu yote mi2!!
Ukiwa na pesa usipo pendwa na watu ni sawa na kuishi kwa matumaini baada ya kupata virusi vya ukimwi!
Ukiwa huna pesa au ukiwa na pesa ambayo siyo ya kunyonga ukapendwa unakuwa na matumaini pia ya kuingia kwenye peponi ya muumba wa mbingu na aridhi baada ya kufa!
Kila jambo na mwisho wake mwisho mwema huanza kujilikana hapa duniani maana dunia ni kioo! Cha kukuonyesha siku ya mwisho hukumu yako itakuwa vipi!!
RIP celina ombeshi kombani
 
RIP Mama.Ingawa sisi tukiumwa India yetu ni Muhimbili tu.
Sawa, sasa si vizuri kuongealea au kumnyoshea mtu kuhusu ugonjwa, Uhai wetu uko mikononi mwa bwana wetu yesu mwokozi wetu, habari ya kusema huyo mgonjwa wakati wewe mwenyewe hujui lini na wakati gani mungu ataihita roho yako. Tulia nyamaza kimwa anayejua habari za uhai wetu ziko kwa Mungu wetu.
 
Kwanini mazishi yake yagharamiwe na Bunge ilihali yeye sio mbunge? R.I.P
 
Sawa, sasa si vizuri kuongealea au kumnyoshea mtu kuhusu ugonjwa, Uhai wetu uko mikononi mwa bwana wetu yesu mwokozi wetu, habari ya kusema huyo mgonjwa wakati wewe mwenyewe hujui lini na wakati gani mungu ataihita roho yako. Tulia nyamaza kimwa anayejua habari za uhai wetu ziko kwa Mungu wetu.
Mnaponyoshea kidole ugonjwa wa Lowassa mnadhani uhai wake uko mikononi mwa CCM?

Mjifunze kuheshimu utu wa wengine pia.
 
Watanzania akili zetu zimeingiliwa na kitu gani lakini? Hapa tumeletewa tanzia ya kifo ya Mtanzania mwenzetu,badala ya kuhungana na kumuombea apumzike kwa amani peponi, sisi tunatanguliza masuala ya itikadi za vyama na kejeli juu, tunajisahau kabisa kuwa kila nafsi itaonja muhuti!! Huku kama sio kuchanganyikiwa ni nini?


Ccm ndo imetufikisha huku yani sasa hivi hatuthamini kitu chochote km mgombea urais anapiga pus up ili kuonyesha kuwa mwenzake ni mgonjwa tunakoelekea ni kuuana tu..mama aluvyokuwa anatetea katiba mpya mzima kabisa tujifunze kuwa Mungu ndiye mpangaji wa yote...kesho magufuli anaweza amka kilema na lowasa mzima...hili ni fundisho tuingize kwenye vitabu vya kumbukumbu...
 
hivi ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa Bunge sometimes back?sijawahi kumsikia akitukana lakini

Ndo alianza mchakato wa katiba ka kashfa kali... Mungu amrehemu na kumlipa stahiki yake.
 
Wengine wanauwawa watu wanapanda vyeo alafu hapa tunasema R.I.P!

Mnakejeli mnaowaona wagonjwa,mnasikitia marehemu!

Huu unafiki kwa mungu haupo.


Nimekupata mkuu nidhamu za kinafiki...mgonjwa mnamnyanyapaa halafu marehemu mnamuheshimu...naomba majalada mengine km ya kina faiza yaitwe tuu...Mungu unisamehe ila ulisema katika neno lako usimuache mchawi aishi..
 
Ukiona mtu anachekelea kifo jua ana tatizo kubwa.

Na ugonjwa jee...watz tuache uoga tunaogopa kifo kuliko ugonjwa...idd amini alivyokufa tulitoa sadaka..na nyerere tunamkumbuka kwa kazi zake kwa taifa ili...na huyu watu watoe tu mawazo yao..pengine itawafanya viongozi wetu wabadili tabia zao kwa kuogopa wataacha story gani wakitwaliwa..
 
RIP mama kombani. Nimekusamehe kosa lako la kuchakachua katiba ya wananchi ili MUNGU aweze kukulaza mahala pema peponi. Amen

Ndugu nikuambie kitu ni raisi saaaana ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni na hukumu inatolewa kulingana na matendo yako kama ulifanya mema yanayo mpendeza Mungu utalipwa mema kama ulifanya maovu maovu yatakufuata.
 
Pumzika kwa aman mama komban,siasa sio uadui zisitufanye tupoteze utu wetu. Kama watanzania tujifunze uvumilivu wa kisiasa licha ya tofaut zetu za kisiasa.

Ila kaka unasikia kampeni za ccm lakini? wao wamefanya afya ya lowasa ndioyo ajenda yao ya kudhihakia. Kumbe hata hao wanaopiga push up unaweza kusikia ksho yuko india kesho kutwa RIP.
 
Sasa kuanzia leo push up ni mchezo wa kitoto angalia huyu hakuwai kusemwa kua anaumwa ila mda umefika katangulia so push up ni kumdhihaki mungu akikutaka hakuna push up
 
RIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.
...mzee wangu..majuzi kafa yule kijana wa chadema Mtoi wala hukutoa pole humu....matendo yako yanazidi kutufanya tukujue....

....nilifarijika wewe kuachwa kugombea urais chadema....baada ya kumsoma baba yako wa kiroho Gwajima....pale alipodhihirishia umma wa TZ kuwa kumbe wewe usingefaa kugombea urais...kwa jinsi unavyanya maamuzi kwa matakwa ya mchumba (wala si mke)...

...Nimesikitika sana kugundua uliacha chama kwa matakwa ya mke (kwa mujibu wa baba yako wa kiroho Gwajima)..

...nasikitika zaidi hata kuskia wewe kuwapinga ukawa wanapofanya jitihada za mabadiliko TZ....eti kisa mchumba hapendi!!....imenisikiisha sana....kuona chuki uliyoonysha kwa Lowassa...kisa kapewa yeye kugombea urais (ni kwa mujibu wa Gwajima)...yani hadi unaacha chama!!..inasikitisha sana...Lowassa huyu huyu anaekejeliwa maradhi na hawa hawa ambao wewe mwenyewe uliwakataa kuapishwa mwaka 2010...pale walipokushinda....

..ujumbe wangu wa kimapinduzi kwako....matatizo hayakimbiwi....bali hutatuliwa....
 
Mungu awatie nguvu wafiwa na kuwafariji katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe..amen
 
Bora mana ccm wanasema lowasa ndo mgonjwa ona wanaanza kufa wao mungu ashukuriwe hakika
 
RIP Kombani.
Katika vifo hivi kuna kitu nahisi Mungu anataka kutueleza Watz. Huyu alikuwa ni Waziri aliyesema hadharani hataki Katiba Mpya. Mwingine ni John Komba (RIP), yeye alisema ikibidi atakwenda msituni ili katiba mpya isipite. Tunataka ishara gani Watz ili tuelewe Mapenzi ya Mungu kwetu?
 
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..

Celina.jpg


Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.

She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.

Ooh my dear Celina. RIP Rafiki.
 
Back
Top Bottom