Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Yaani huyu FaizaFoxy yy ana lake tu lingine na mimi. Ni fumbo la Imani. Wenzake wote wataona ila yy hapana. Ni kama ile Hadith ya wale 99 mmoja amepotea. Abarikiwe tu. Nishamzoea kama wengine walivyomzoea. Kaziiendelee...Jiheshimu wewe bibi. Kaunde serikali yako uifanyie reform. Waziri Gwajima ni mchapakazi na ni mfano wa kuigwa. Narudia tena JIHESHIMU BIBI. ACHA KUOTA MAPEMBE
Bado Kisha sema kuna waarabu ni weusiUmemaliza?
Nimeshaanza ndugu yangu. Tukumbuke kuwa, kwenda kwenye jamii siyo wizara moja peke yake bali timu ya kisekta na mamlaka kadhaa kwa pamoja; Wizara hii ya Maendeleo ya Jamii, Wizara ya Mambo ya Ndani, Jeshi la Polisi, Wizara ya TAMISEMI, Wizara ya Biashara, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa uchache; nimeona nielimishe wadau Ili wajue kwa nini kuna wakati wengine wanaweza kuona mbona asitamke tu yeye? Kwa mujibu wa nyenzo za kazi na dhamana kuna utaratibu Ili kile kikitamkwa, kiwe sustainable na kimilikiwe na mfumo. Hivyo, mm sasa nawaratibu wenzangu wote twende pamoja. Tuwe na subira na tufuatilie.Naamini Waziri Dkt. Gwajima D atayafanyia Kazi hayo Maelekezo yangu yote 15 niliyomtajia na Tatizo Kumalizika kabisa. Nina Imani nae Kubwa tu.
Tusitumie nguvu Kila mara hata pale ambapo tunaweza kuongea tukaelewana.Jambo ni la dharula hili nashauri wamwagwe SUMA JKT kwanza kila ufukwe walao kwa miezi kadhaa na watoe adhabu takatifu kwa atakaenaswa.
Kwanza hujambo? Tusalimiane. Unadhani mifumo Iko hivyo sasa?Dkt. Gwajima D tunakupa muda mpaka 15/11/2023 ukishindwa kulifanyia kazi,tutaanza kuifanyia kazi hiyo kazi yako.
Mm nakataa kuwa serikali Iko hivyo unavyoona wewe. Ndiyo maana tuko pamoja hapa tunashirikianaTatizo serikali haiko serious na matatizo ya kijamii, wamekalia kusema tutalitizama fyoko fyoko, mfano mdogo ni panya road
Anayo kibao Hadi nimemzoea. Mwanzo nilidhani huwa anakuja na maoni, kumbe vuruga vuruga tu[emoji28]Hakika adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! Una chuki binafsi wewe.
kwanza umekula? sio unapangia viongozi cha kufanya kumbe ni njaa tu inakusumbuaDkt. Gwajima D tunakupa muda mpaka 15/11/2023 ukishindwa kulifanyia kazi,tutaanza kuifanyia kazi hiyo kazi yako.
Barikiwa saaaana Dada! Najua tatizo lake ni UDINI. Naunga mkono juhudi zako kwenye nafasi Yako, MUNGU akuzidishieAnayo kibao Hadi nimemzoea. Mwanzo nilidhani huwa anakuja na maoni, kumbe vuruga vuruga tu[emoji28]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Hatua gani sijachukua mfano[emoji28] hatua zote ninazochukuaga ww huoni? Basi pita na kurasa zingine usibaki humu tu. Nadhani na ww chukua hatua za kutembelea kurasa zetu na zangu na zingine uone malimwengu ya hatua. Usisubiri baadae uanze kusema inge......Dada yangu na mtani wangu wewe ni mwepesi wa kujibu ila kuchukua hatua ndio ngumu, sijui kwani nini wale ni wanawake wenzio, mda mwingine sio kwamba wote wanaoenda pale wanapajua historia za Beach. Kama unaweza lifanyia kazi lifanyieni kazi kwa haraka ila kwa umakini mkubwa pia ila sio kila siku na kila kitu mnakipokea alafu mnaenda kukaa nalo kimya.
[emoji28]kwa nnBasi Genta hapa ndio mtamkoma, atavimba kinoma. [emoji16]
Hakika! Tungekua na mawaziri hata watano tu wanaojitambua kama WEWE hakika tungekua na Tz ya tofauti, mengine nitaomba appointment ofisini Kwako Mimi na wewe.Mm nakataa kuwa serikali Iko hivyo unavyoona wewe. Ndiyo maana tuko pamoja hapa tunashirikiana
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
[emoji28]yaani huyu FaizaFoxy, siyo bure, huenda nyuma yake kuna jambo lake fulani fulani... Ila mm humu sitoki yeye afanye ajenda yake na mimi nafanya yangu.... kaziiendeleeNdugu yangu nikutoe gizani.
Waziri Dkt. Gwajima D amejitahidi mnoo kufanya kazi inayoonekana na hana mbwembwe unazozisema.
Usitukimbizie Waziri wetu jukwaani pls
Ubarikiwe. Nchi yetu nzuri haina haya mambo, kama yy anayo atabaki nayo yy, sisi tunaendelea na kazi. Acha tupige kazi yetu na yeye apige yake tutapima matokeo [emoji28]Barikiwa saaaana Dada! Najua tatizo lake ni UDINI. Naunga mkono juhudi zako kwenye nafasi Yako, MUNGU akuzidishie
Pamoja sana Dr!Ubarikiwe. Nchi yetu nzuri haina haya mambo, kama yy anayo atabaki nayo yy, sisi tunaendelea na kazi. Acha tupige kazi yetu na yeye apige yake tutapima matokeo [emoji28]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Huyu mama Gwajima d mfuatiliaji sana, kuna picha za hovyo zilirushwa insta... akaitwa akafika haraka na kulishughulikia.Tuko pamoja Mkuu. Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D akiyafanya tu haya Maelezo yangu 15 bila Kukosea hata Moja tatizo linaisha na kuwa Historia na mtakuja hapa hapa JamiiForums kunishukuru GENTAMYCINE.
Nyingi tu dada angu ngoja nikitulia nakuletea ushahidi hapa hapa jamviniHatua gani sijachukua mfano[emoji28] hatua zote ninazochukuaga ww huoni? Basi pita na kurasa zingine usibaki humu tu. Nadhani na ww chukua hatua za kutembelea kurasa zetu na zangu na zingine uone malimwengu ya hatua. Usisubiri baadae uanze kusema inge......
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app