#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Dah kumekucha kampeni za Chanjo hizi mpaka kwenye tendo ni hatari sana.

kuwa Na watu kama hawa kuongoza ni shida
Kitu gani kimembadilisha mbona alikuwa smart sana kwenye Serikali iliyopita
 
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'

Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.

Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndiyo maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanja chanjo hiyo.

Pia, soma =▷ Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

...Dah, huyu Mama naye! Si mtu mzima huyu??
 
Mitambo ipi?
 
Haya mabadiliko madogo yanaweza kupita naye
CCM inapenda Kama hao.
Mtu Kama Kimei kila mtu anajua kwamba Ni competent lkn aliachwa kachukuliwa Madeluh.
Kuna madaktari kibao competent ambao wangepewa ubunge na kupandishwa uwaziri lkn Doro kachukuliwa.
Kuna maprofesa kibao ambao wangeteuliwa ubunge Tena wanaojua lugha mbali mbali lkn kateuliwa Dada joy.
Hii inakupa picha gani?
Competence is not an overriding factor.
 
Back
Top Bottom