#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Ha ha ha aaaaaa, brilliant, brilliant, brilliant.
Dr Gwajima anafaa kumpokea kijiti Mama baada ya mikumi.
 
Tukihitaji uthibitisho atoe ushirikiano tafadhali.[emoji276]
 
Kwahiyo kampiga mimba au? Maana kama kutest kwenyewe mitambo ni kula tu mzigo basi aisee tuna uhaba mkubwa wa marijali. Si Gwajima kachanja toka wiki kadhaa zilizopita? Yani jamaa ndo katest juzi kisha mrejesho leo ama? Yani jamaa wiki zote hizo alikuwa anakusanya nguvu ya kutest mitambo au? Victoire mpenzi wangu emb nisaidie kwa hili tafadhali!
Hahhaah darling umechanja lakini ?Dorothy anasifikia kitu cha kisukuma bado kipo 90 degree wakati wa mechi .
 
Hii ndio aina ya viongozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, ndio aina ya watu walio mbele yetu nasi tunatembea katika nyayo zao ili kufikia maendeleo!
Safari bado ni ndefu mno!
 
serikali ishageuka ya wanawake tupu full mipasho,huyu alipaswa awe ashatumbuliwa
 
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'

Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.

Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndiyo maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanja chanjo hiyo.

Pia, soma =â–· Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

Anatestiwa na viba100 anajisifu akuje musoma kuna dick
 
Back
Top Bottom