Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ni nyoko yani😂Hahah...maza katazama hadi koneksheni ya Gwajiboy...kaona mkono wa baunsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nyoko yani😂Hahah...maza katazama hadi koneksheni ya Gwajiboy...kaona mkono wa baunsa
Wote ni WasukumaTangu mwendazake wote ni vichaa tupu
Mnyiramba huyoMama alikua kichwani safi sana huyu enzi anabukua huyu mnyaturu. Sema ana roho moja nzuri sana (namfahamu). Sema nini arudi tu kwenye taaluma yake ya udaktari. Huku anatuchekesha tu
Hahhaah darling umechanja lakini ?Dorothy anasifikia kitu cha kisukuma bado kipo 90 degree wakati wa mechi .Kwahiyo kampiga mimba au? Maana kama kutest kwenyewe mitambo ni kula tu mzigo basi aisee tuna uhaba mkubwa wa marijali. Si Gwajima kachanja toka wiki kadhaa zilizopita? Yani jamaa ndo katest juzi kisha mrejesho leo ama? Yani jamaa wiki zote hizo alikuwa anakusanya nguvu ya kutest mitambo au? Victoire mpenzi wangu emb nisaidie kwa hili tafadhali!
😂😂😂😂Huyu maza huyu dah 😂😂😂 angekuwa maza angu sijui sura ningeificha wapi akyanani
Farasi ww😂😂😂😂😂😂😂
Kwenye hot pot
Ukitaka umfaidi unamvisha barakoa ili usione Ile sura.Bi mdashi anaonekana ana papuchi tamu ya moto...
Sema tu ile sura yake kama ramani ya Tanganyika...
Siku nyingi sana nilikula chanjo nikiwa DubaiHahhaah darling umechanja lakini ?Dorothy anasifikia kitu cha kisukuma bado kipo 90 degree wakati wa mechi .
😂😂😂😂😂 Unadhani hiyo sura ungeificha kwenye kapu mkuuu?????Farasi ww😂😂😂
Ukiwa kiongozi m ccm lazima uwe chizi.Ila huyu waziri tulipigwa asee[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Anatestiwa na viba100 anajisifu akuje musoma kuna dickWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'
Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.
Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndiyo maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanja chanjo hiyo.
Pia, soma =â–· Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha