Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji15][emoji15][emoji15]Wewe una akili sana kwa kuweka chura hapo kwenye avatar yako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji15][emoji15][emoji15]Wewe una akili sana kwa kuweka chura hapo kwenye avatar yako!
Dishi limecheza🤣Ila huyu waziri tulipigwa asee[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Huyu maza huyu dah 😂😂😂 angekuwa maza angu sijui sura ningeificha wapi akyanani
Sasa maana yake ni nini anavyo sema mume katest mitambo kakuta yupo fit! kapata ujauzito au akakojoleshwa?
Bila aibu nazungumzia mambo ya chumbani ili kumshawishi watu. Aibu sanaWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'
Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.
Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndiyo maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanja chanjo hiyo.
Pia, soma =▷ Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha
Ikipungua nguvu mwilini unarudi kukazia. WHO wakija kushtuka chanjo zilizotumika Tz zinazidi idadi ya watu.Sure! Usishangae soon mabaharia wakianza kuichangamkia. Hapo odo ameipromote chanjo bila yeye kujua
Naamini zipo chache si nyingi; kauli kama hizo ni za uchache!!Sijajua ila nahisi kuna some how zipo chache au nyingi sana
I love her [emoji1787]
Mie Sichanji aisee...WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'
Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.
Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndiyo maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanja chanjo hiyo.
Pia, soma =▷ Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha
Atupe na sisi wananchi tutest mitambo yake tuone kwa macho,sisi wengine ni Tomaso.Sasa maana yake ni nini anavyo sema mume katest mitambo kakuta yupo fit! kapata ujauzito au akakojoleshwa?