#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Ni kama dishi limeyumba hivi,hamuoni mwenzake ummy alivyo tulia,mme wake ana kazi sana.
Anajua akili zenu... Wacha aishi sawa sawia na matendo yenu..
 
Dah [emoji23][emoji23][emoji23] nashukuru mungu sijakutanaga na hizo namba
Mzee unaambiwa mshikaji wangu alioa hilo kabila ndani ya mwezi alibaki kama njiti za kiberiti, jamaa aki tip mchanga anaambia jaza tena na tena na tena karibu aikimbie nyumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanapenda dyudu kupitilza halafu wanacheza hadi mechi za nani kwa ndani
 
Huyu mama kumbe nae ni mzee wa mipasho!
Haya bhana tutasikia mengi sana mpaka wimbi hili la covid-19 litakapotulia, nasubiri na kauli ya Mollel kuhusu mke wake!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'

Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.

Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndiyo maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanja chanjo hiyo.

Pia, soma =▷ Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

Hivi huyu Waziri aliokotwa wapi?
 
Mzee wakazi kateste papuchi kaikuta ipo manato kazi indelee.
 
Waziri wetu ni mcheshi kupitiliza,kwa jinsi alivo namuona ana kipaji pia Cha uchekshaji (stand-up comedy)

Umemuona alipokuwa anahojiwa alivyokuwa anaweka pozi
Yaani anaangalia juu si juu pembeni si pembeni yaani ni burudani Tosha

Halafu majibu sasa [emoji23][emoji23]
IMG_2075.jpg
 
Back
Top Bottom