Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwanaume alianzisha Uzi kuwa tangu achanje hyo chanjo amei improve mechi zake had mama chanja amemushangaa. Kuna Uzi humuWanaume wengine mnasemaje? Mbona hamleti mrejesho? Maana yasemekana mitambo huwa inaharibika baada ya chanjo.
View attachment 1897071
Dah bure kabisa yani jamaa kwahio anaweza kula mkong’oto jazz band akileta fyoko zakeNdugu unawajua wanawake wa Kinyiramba?acha nikumegee;
1. Wanapenda ngono ukicheza unaachwa
2. Ni wa gomvi balaa na wanapiga mkono unaweza kimbia
3. Hayanaga aibu yoyote
Sidhani mkuu yeye na bi mdashi ni mtu na shoga ake wa kufa mtuNadhani anajua soon anakua replaced,,I think rais akirudi kutoka SADC atakua replaced
Mtambo gani hana churaSerikali ya CCM imejaa vichaa na hii ni hatari kwa maendeleo na usalama wa nchi!
Huyu Mama kuna baadhi ya nati huenda zimelegea, amekaa kimichambomichambo sana...
okay we've heard enough she got to go, ,how she go put that thought in our mind? .. anyway she s a MILF though or Mature ebony hahaha god help meWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'...
Bro usithubutu kuoa hilo kabila, hawana aibu unapigwa tena mbele za watu, hata ukimpiga vipi hakubali kushindwa, wana msemo wao (bulgha au bulaga) maana yake niue tu lkn sikuachiiDah bure kabisa yani jamaa kwahio anaweza kula mkong’oto jazz band akileta fyoko zake
Dah 😂😂😂 nashukuru mungu sijakutanaga na hizo nambaBro usithubutu kuoa hilo kabila, hawana aibu unapigwa tena mbele za watu, hata ukimpiga vipi hakubali kushindwa, wana msemo wao (bulgha au bulaga) maana yake niue tu lkn sikuachii
Nyie wenye madishi mazima hamujawahi kuwa hata wajumbe wa mtaa na kuwa na chochote kileNi kama dishi limeyumba hivi,hamuoni mwenzake ummy alivyo tulia,mme wake ana kazi sana.
NAOMBA kuuliza Kama huyu mama kasoma URUSI
Anakila dalili za kuonesha kasoma huko Nina anko wangu kasoma huko yaan wanafanana kitabia na huyu mama kabisa