Jasusi Uchwara
Member
- Aug 12, 2021
- 64
- 117
Perhaps has a problem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa akili zimezidi ubongo ama vice versaHuyu maza huyu dah 😂😂😂 angekuwa maza angu sijui sura ningeificha wapi akyanani
Kwa huyu maza hauambiwi kitu....😂😂😂I love her 🤣
Anko wako, Dorothy na Dr shika....NAOMBA kuuliza Kama huyu mama kasoma URUSI
Anakila dalili za kuonesha kasoma huko Nina anko wangu kasoma huko yaan wanafanana kitabia na huyu mama kabisa
Hizi kauli achunge zisije mponzaWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'...
Ndio madhara ya kuchagua watu kwa kuangalia makaratasi😂!!! Maana Magu yeye alikuwa akiona PhD na anatokea kanda ya ziwa tu anaona huyu anafaaHadi leo nashindwaga kuelewa aina hii ya waziri alipewaje, yawezekana ana tu za darasani za kukariri ama kufanya hesabu lakini kiukweli huyu mama ana matatizo ya kiakili
ndio mnajua leo. tokea enzi za jpm nimekuwa nikisema hii wizara imejaa viazi. ndio hiv sasaIla huyu waziri tulipigwa asee[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Kenyatta alikuwa wa hovyo basi, overconfidence ni kitu kibaya sana hasa akiwa nacho mwanamke😂Ungebaini Kama mzee alitest mitambo Jana😂😂😂😂
Ni Kenyatta seniour peke yake ndio alikua anaongea Mambo yake na waif hadharani.
Ni kama dishi limeyumba hivi,hamuoni mwenzake ummy alivyo tulia,mme wake ana kazi sana.Maza anaropokwa sana yani
Hakuna wa kuniambia chochote!Kwa huyu maza hauambiwi kitu....😂😂😂
Dishi halipo sawa, hawa ndio wale graduate wa Urusi bila shaka!Ni kama dishi limeyumba hivi,hamuoni mwenzake ummy alivyo tulia,mme wake ana kazi sana.
Kwa hiyo ni mjamzito?? Au ufiti gani anaongelea?