#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Kila mwili utapokea chanjo vile unataka,kuna bosi wangu mmoja yeye kapiga ya AstraZeneca hakutuambia mambo ya nguvu za kiume isipokuwa kuna namna mwili ulivyopokea chanjo kwa siku mbili tatu ila kwa sasa yuko kawaida as usual...

Basi wajiandaae kuwa mazombi
mazombi yana nguvu sana😂😂😂
 
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'

Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.

Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndiyo maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanja chanjo hiyo.

ahahahaa nileteeni gwajima nileteeeni gwajima nileteeni gwajimaaaaaaa
 
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'

Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.

Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndiyo maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanja chanjo hiyo.

ngoja na wataliban waje kutest mitambo umetoa siri
 
Basi wajiandaae kuwa mazombi
mazombi yana nguvu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu kama hicho,japo mimi bado ila nitachanja kabla wiki haijaisha,nawasihi chanjeni kipindi hiki ambacho kuchanja ni bure kuna kipindi utajuta kama hukuchanja, halafu una jambo haliwezi kwenda mpk uwe na kadi ya kuchanja uviko19...Dunia ndo ishabadilika mkuu huna ujanja wa kwenda tofauti na wakulungwa.
 
Ila huyu waziri tulipigwa asee[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Huyu mama hafai kushika wizara nyeti Kama hiyo,akiimaliza hii awamu akiwa waziri wa afya ashukuru Mungu,sioni future nzuri kwa huyu mama tangu enzi za Magufuli,asipobadilika huyu mama ataishia pabaya.

Huyu mama naona Kama hawaendani na mama Samia,
 
Mitambo tena au mitano mbona sielewi, subiri uone mtambo wa jumapili wenyewe hautesti unapita moja Kwa moja kama habari za mbasharara
 
Anatumia nguvu nyingi sn kwenye swala la chanjo

Subiri Chidy boy (gwajey) akunyooshe jpili kanisani kwake Ubungo
Shangaa. As if dose 1M zilizokuwa zinakaribia kuexpire ndio muarobaini wa waTZ.

Hivi lile vumbi na juice kutoka Madagascar zilizokuwa zinapigiwa chapuo na huyu mama ziliishia wapi? Tuna watawala wapuuzi sana wallahi na acha tu Askofu Rashid aendelee kuwavuruga
 
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'....
Ninashauri wateule wa Rais wapitie "MIREMBE"
 
Back
Top Bottom