#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Huyu maza huyu dah 😂😂😂 angekuwa maza angu sijui sura ningeificha wapi akyanani
Mimi namuoneaga huruma zaidi.Nadhani wizara yake ni kati ya wizara zinazopita kwenye wakati mgumu sana.kumbuka yeye alikuwa front kwenye kutuhamasisha kutumia njia za asili(michemsho ya tangawizi) kujilinda na covid. yaani amekuwa flexible kupita kiasi kwenda na upepo
 
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'

Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.

Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndiyo maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanja chanjo hiyo.

Hiki ndio chuma halisi sasa sio wale wa kuvunga 😆😆😆😆
 
Mimi namuoneaga huruma zaidi.Nadhani wizara yake ni kati ya wizara zinazopita kwenye wakati mgumu sana.kumbuka yeye alikuwa front kwenye kutuhamasisha kutumia njia za asili(michemsho ya tangawizi) kujilinda na covid. yaani amekuwa flexible kupita kiasi kwenda na upepo
Hahahahah namsubiri Askofu chidi mzee wa “Amfifiro” akiwashe hapo ufufuo na uzima 😂
 
Kwani kaongea nini cha ajabu,sasa mnafikiri kwamba huyo mama hapigi show?
Ana uzee gani?

Ila ni kweli kuna jamaa yangu kachanja anakwambia alipiga show ambayo hakuwahi kupiga miaka hii ya karibuni,mpk wife analalamika...
 
Back
Top Bottom